Mmh my friend...XT kuna turbo na non turbo.
Mmmmh mzee fuatilia vizuri boss kuna J20 turbo, J20 non turbo,. But J25 turbo charged.XT zote ni turbo na XS zote ni non turbo labda ibandikwe tu label. Hakuna XT non turbo from the Subaru factory
Hebu lete mfano wa hiyo XT ambayo ni natural aspirated!!Mmmmh mzee fuatilia vizuri boss kuna J20 turbo, J20 non turbo,. But J25 turbo charged.
Ni pm namba yako ya WhatsApp nukutumie video kabisa au nikupigie video call uione boss kama hutojali mkuu.Hebu lete mfano wa hiyo XT ambayo ni natural aspirated!!
Isijekuwa tunajadili mambo yakufikirika tu!!
Mkuu hakuna XT ambayo haina Turbo na kama hujui hiyo T inasimama badala ya Turbo....ile ambayo ni Non turbo ni SH na Haina Pua kwenye bonett yenye pua ni XT na lazima Turbo iwepo....Mmh my friend...XT kuna turbo na non turbo.
Andaa mil 50Mimi nitachagua Vangwadi kwakweli nataka kuagiza soonView attachment 2597300
View attachment 2597301
View attachment 2597302
DahMkuu hakuna XT ambayo haina Turbo na kama hujui hiyo T inasimama badala ya Turbo....ile ambayo ni Non turbo ni SH na Haina Pua kwenye bonett yenye pua ni XT na lazima Turbo iwepo....
Unatakiwa uelewe kwanza maana ya XT usifikirie wanawekaga tu hizo Herufi kwa kufurahisha wanunuaji kila Jina lina maana yake na kitu cha tofauti na nyingine.
Umeshangaa?
Yes nashangaa kwakua hapa kuna XT subaru na ni non turbo mkuuu....turbo engine kwenye XT ni options tu mkuu...narudia tena sio Subaru XT zote zinakuja na turbo..kuna zinakuja na 1.9L turbo charged na 1.9L non turbo charged na kuna inayokuja na engine 2.5L turbo charged..and ukitaka verify basi unaweza nkucheki pm, but also kuna members tu wengi humu Wana subaru Forester XT so probably wapo ambao wana hiyo version ya subaru Forester XT non turbo 1.9LUmeshangaa?
Vanguard iko Overated mno...yaani sasa hivi bei yake ni Mil 45-50 halafu kila kitu ni kama Rav4 ni Afadhali ukanunua BMW x3 au Subaru forester kwa Mil 25 kuliko kununua Rav 4 kwa mil 50 na walati hamna tofauti.Mimi nitachagua Vangwadi kwakweli nataka kuagiza soonView attachment 2597300
View attachment 2597301
View attachment 2597302
Yes nashangaa kwakua hapa kuna XT subaru na ni non turbo mkuuu....turbo engine kwenye XT ni options tu mkuu...narudia tena sio Subaru XT zote zinakuja na turbo..kuna zinakuja na 1.9L turbo charged na 1.9L non turbo charged na kuna inayokuja na engine 2.5L turbo charged..and ukitaka verify basi unaweza nkucheki pm, but also kuna members tu wengi humu Wana subaru Forester XT so probably wapo ambao wana hiyo version ya subaru Forester XT non turbo 1.9L
Yes nashangaa kwakua hapa kuna XT subaru na ni non turbo mkuuu....turbo engine kwenye XT ni options tu mkuu...narudia tena sio Subaru XT zote zinakuja na turbo..kuna zinakuja na 1.9L turbo charged na 1.9L non turbo charged na kuna inayokuja na engine 2.5L turbo charged..and ukitaka verify basi unaweza nkucheki pm, but also kuna members tu wengi humu Wana subaru Forester XT so probably wapo ambao wana hiyo version ya subaru Forester XT non turbo 1.9L
Kuna kitu jamaa atakuwa kajichanganya, mara nyingi kama gari zikipata ajali kama vile kugongwa kwa nnje au kwa nyuma huwa kuna vitu vinabadilishwa...kwa mfano milango ya XT na SH, huwa inaingiliana kwa Hiyo hata mlango wa Boot ya gari kama SH unaweza kuharibika kabisa na ukabadilishwa unafungwa wa XT na Logo yake ya XT na ukafit vizuri tuu sasa ukiwa ni mtu wa kukariri maandishi ya nyuma ya gari bila kujali specifications utajichanganya..kwa Mfano kuna baadhi ya Rav4 na Vanguard zinaingiliana milango ya boot,Mzee hata mimi narudia, hakuna forester XT ambayo ni non turbo, hiyo labda imebandikwa badge tu ya XT. X na XS ndo non turbo. Hizo engine zote unazotaja na hata EJ 20 zipo turbo (XT) na non turbo ambazo ndio X na XS
Model za mbele pia ni hivyo hivyo. Hata EJ25.. nazo ziko turbo na non turbo.
Narecommend toyota brand crown na premioWhich sedan car would you suggest someone to buy
Budget 17-22m ,ambayo imeproove tayari hapa bongo
Mkuu am not a person wa kukalili maandishi, my friend, you may consider to take your time ku validate statement zangu hapo juu..Kuna kitu jamaa atakuwa kajichanganya, mara nyingi kama gari zikipata ajali kama vile kugongwa kwa nnje au kwa nyuma huwa kuna vitu vinabadilishwa...kwa mfano milango ya XT na SH, huwa inaingiliana kwa Hiyo hata mlango wa Boot ya gari kama SH unaweza kuharibika kabisa na ukabadilishwa unafungwa wa XT na Logo yake ya XT na ukafit vizuri tuu sasa ukiwa ni mtu wa kukariri maandishi ya nyuma ya gari bila kujali specifications utajichanganya..kwa Mfano kuna baadhi ya Rav4 na Vanguard zinaingiliana milango ya boot,
Ila kwa anayejua gari atakuambia hii ni Rav4 na hii ni Vguard au hii ni Xt nk
Andaa mil 50
Andaa mil 50
Nategemea tulinganishe haya magari yakiwa ya mwaka mmoja.Kama ni bei hakuna debate1
1.vanguard
2.forrester
3.dualis
Nategemea tulinganishe haya magari yakiwa ya mwaka mmoja.
Sio sahihi kuchukua gari 2009 ukilinganisha na 2017
Forester 2013 vs Guard 2013Vanguard mwisho 2013