Subaru vs Vanguard

Subaru vs Vanguard

Mimi nitachagua Vangwadi kwakweli nataka kuagiza soon
IMG_2441.jpg

IMG_2445.jpg

IMG_2439.jpg
 
Mmh my friend...XT kuna turbo na non turbo.
Mkuu hakuna XT ambayo haina Turbo na kama hujui hiyo T inasimama badala ya Turbo....ile ambayo ni Non turbo ni SH na Haina Pua kwenye bonett yenye pua ni XT na lazima Turbo iwepo....

Unatakiwa uelewe kwanza maana ya XT usifikirie wanawekaga tu hizo Herufi kwa kufurahisha wanunuaji kila Jina lina maana yake na kitu cha tofauti na nyingine.
 
Dah
 
Umeshangaa?
Yes nashangaa kwakua hapa kuna XT subaru na ni non turbo mkuuu....turbo engine kwenye XT ni options tu mkuu...narudia tena sio Subaru XT zote zinakuja na turbo..kuna zinakuja na 1.9L turbo charged na 1.9L non turbo charged na kuna inayokuja na engine 2.5L turbo charged..and ukitaka verify basi unaweza nkucheki pm, but also kuna members tu wengi humu Wana subaru Forester XT so probably wapo ambao wana hiyo version ya subaru Forester XT non turbo 1.9L
 
Mzee hata mimi narudia, hakuna forester XT ambayo ni non turbo, hiyo labda imebandikwa badge tu ya XT. X na XS ndo non turbo. Hizo engine zote unazotaja na hata EJ 20 zipo turbo (XT) na non turbo ambazo ndio X na XS
Model za mbele pia ni hivyo hivyo. Hata EJ25.. nazo ziko turbo na non turbo.
 
Kuna kitu jamaa atakuwa kajichanganya, mara nyingi kama gari zikipata ajali kama vile kugongwa kwa nnje au kwa nyuma huwa kuna vitu vinabadilishwa...kwa mfano milango ya XT na SH, huwa inaingiliana kwa Hiyo hata mlango wa Boot ya gari kama SH unaweza kuharibika kabisa na ukabadilishwa unafungwa wa XT na Logo yake ya XT na ukafit vizuri tuu sasa ukiwa ni mtu wa kukariri maandishi ya nyuma ya gari bila kujali specifications utajichanganya..kwa Mfano kuna baadhi ya Rav4 na Vanguard zinaingiliana milango ya boot,

Ila kwa anayejua gari atakuambia hii ni Rav4 na hii ni Vguard au hii ni Xt nk
 
Mkuu am not a person wa kukalili maandishi, my friend, you may consider to take your time ku validate statement zangu hapo juu..
 
Back
Top Bottom