Subaru vs Vanguard

Vanguard iko Overated mno...yaani sasa hivi bei yake ni Mil 45-50 halafu kila kitu ni kama Rav4 ni Afadhali ukanunua BMW x3 au Subaru forester kwa Mil 25 kuliko kununua Rav 4 kwa mil 50 na walati hamna tofauti.
Vanguard sio rav 4. Inawezekana engine zinafanana ila Vanguard ina vitu vingi zaidi kuliko rav4. Ni watu wenye wivu tu wanaita Vanguard rav 4.

Sisikii wakiita Fortuner ni Hilux na zote zinatoka kwenye mfumo mmoja, ana GXR kwamba ni VXR na zote zinatoka kwenye mfumo mmoja.

Mimi nimewahi kua na gari zote 2, rav4 na Vanguard, Vanguard iko mbali sana na rav4.

Toyota Vanguard vs Rav4​

The Toyota Vanguard and Toyota RAV4 are both compact crossover SUVs manufactured by Toyota, but they differ in a few key ways:
  1. Size: The Vanguard is slightly larger than the RAV4, with a longer wheelbase and overall length.
  2. Engine: The Vanguard is available with a larger engine than the RAV4. The Vanguard's engine options include a 2.4-liter or 3.5-liter V6, while the RAV4 has a 2.5-liter four-cylinder engine as its most powerful option.
  3. Features: Depending on the year and trim level, the Vanguard may have more advanced features than the RAV4. For example, some Vanguards may have a more advanced infotainment system or more advanced safety features like blind-spot monitoring.
Overall, the Toyota Vanguard is a slightly larger and more powerful version of the RAV4.
 
Tudadavulie hizo tofauti ulizoziona na sio kucopy n paste kutoka mtandaoni
 

Ukiacha Size ni tofauti gani nyingine inayofanya useme vanguard iko mbali sana na Rav4???
 
Namaanisha ipi bora hapo zikiwa zote za mwaka mmoja

Hapa ni personal preference ila binafsi ningeenda na Foreater. Nategemea forester kuwa safe zaidi (stability barabarani kwa sababu ya asymmetricalfour wheel drive, na kuwa low centre of gravity na safety features kama vile eyesight). Pia nategemea iwe slightly more comfortable than vanguard. Tho ina downsides kidogo kama cvt transmission ila sio big deal
 
Au zile suzuki escudo old model inamfaa.
 
Mara ya kwanza kusoma Uzi mwanzo mwisho.Nimesoma Kwa sababu ya Vanguard wakuu Mimi ni mpenzi wa rav 4 damu aamu . Bahati mbaya sikubahatika kuitumia hata mara moja.Naishia na vibaby walker ila kwenye hii Vanguard nimehamishia ndoto huko.

Mara chache nimeitumia ila nimeielewa kutokana na mapenzi yangu na rav 4.Mwisho wa yote nakubali Mimi ni mpenzi kindakindaki wa Toyota
 
Kaka ukitaka amini you buy any European car utaelewa tu...wala utakiwi kuhadithiwa
Mimi ninayo na sijaona hiyo issue shida ni uendeshaji na service wabongo hatufanyi pia mafundi Shabani miyeyusho wanaharibu gari we gereji unakuta fundi ananyundo ya kuvunjia kokoto
 
dunia ni Kijiji kimoja so spea utapata tu hata kama gari inherently ipo exposed to so many failures possibilities (kama most of European, Korean, American sndnd few japanese car brands)..mfuko wako tu.
Hii sentence imewaponza sana watu wengi.Ni rahisi kuiongea Ila utekelezaji wake Sasa.
 
Subaru na kitu kinaitwa comfortability mara nyingi Ni vitu visivyoendana.
 
Vanguard haitakupa headaches hasa kwenye spares na mafundi na reliability kwa ujumla. Mengine ni personal preferences ingawa nafikiri iko overpriced kidogo kulinganisha na hizo gari nyingine, labda kwa sababu ya umaarufu wake (kama Rav4)
Safi sana mdau
 
Watu wa Vanguard tumeshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…