mi_mdau
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,170
- 1,708
Forester 2013 vs Guard 2013
Nadhani Vanguard itazidi kidogo bei, labda kwa milioni kati ya 3-5 kutegemeana na condition ya hizo gari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forester 2013 vs Guard 2013
Vanguard sio rav 4. Inawezekana engine zinafanana ila Vanguard ina vitu vingi zaidi kuliko rav4. Ni watu wenye wivu tu wanaita Vanguard rav 4.Vanguard iko Overated mno...yaani sasa hivi bei yake ni Mil 45-50 halafu kila kitu ni kama Rav4 ni Afadhali ukanunua BMW x3 au Subaru forester kwa Mil 25 kuliko kununua Rav 4 kwa mil 50 na walati hamna tofauti.
Tudadavulie hizo tofauti ulizoziona na sio kucopy n paste kutoka mtandaoniVanguard sio rav 4. Inawezekana engine zinafanana ila Vanguard ina vitu vingi zaidi kuliko rav4. Ni watu wenye wivu tu wanaita Vanguard rav 4.
Sisikii wakiita Fortuner ni Hilux na zote zinatoka kwenye mfumo mmoja, ana GXR kwamba ni VXR na zote zinatoka kwenye mfumo mmoja.
Mimi nimewahi kua na gari zote 2, rav4 na Vanguard, Vanguard iko mbali sana na rav4.
Toyota Vanguard vs Rav4
The Toyota Vanguard and Toyota RAV4 are both compact crossover SUVs manufactured by Toyota, but they differ in a few key ways:
Overall, the Toyota Vanguard is a slightly larger and more powerful version of the RAV4.
- Size: The Vanguard is slightly larger than the RAV4, with a longer wheelbase and overall length.
- Engine: The Vanguard is available with a larger engine than the RAV4. The Vanguard's engine options include a 2.4-liter or 3.5-liter V6, while the RAV4 has a 2.5-liter four-cylinder engine as its most powerful option.
- Features: Depending on the year and trim level, the Vanguard may have more advanced features than the RAV4. For example, some Vanguards may have a more advanced infotainment system or more advanced safety features like blind-spot monitoring.
Namaanisha ipi bora hapo zikiwa zote za mwaka mmojaNadhani Vanguard itazidi kidogo bei, labda kwa milioni kati ya 3-5 kutegemeana na condition ya hizo gari
Vanguard sio rav 4. Inawezekana engine zinafanana ila Vanguard ina vitu vingi zaidi kuliko rav4. Ni watu wenye wivu tu wanaita Vanguard rav 4.
Sisikii wakiita Fortuner ni Hilux na zote zinatoka kwenye mfumo mmoja, ana GXR kwamba ni VXR na zote zinatoka kwenye mfumo mmoja.
Mimi nimewahi kua na gari zote 2, rav4 na Vanguard, Vanguard iko mbali sana na rav4.
Toyota Vanguard vs Rav4
The Toyota Vanguard and Toyota RAV4 are both compact crossover SUVs manufactured by Toyota, but they differ in a few key ways:
Overall, the Toyota Vanguard is a slightly larger and more powerful version of the RAV4.
- Size: The Vanguard is slightly larger than the RAV4, with a longer wheelbase and overall length.
- Engine: The Vanguard is available with a larger engine than the RAV4. The Vanguard's engine options include a 2.4-liter or 3.5-liter V6, while the RAV4 has a 2.5-liter four-cylinder engine as its most powerful option.
- Features: Depending on the year and trim level, the Vanguard may have more advanced features than the RAV4. For example, some Vanguards may have a more advanced infotainment system or more advanced safety features like blind-spot monitoring.
Namaanisha ipi bora hapo zikiwa zote za mwaka mmoja
Aisee sasa hapa inategemea na aina ya barabara, Sehemu zingine Offroad unakutana na tope na utelezi mzito na kwingine Mawe mawe kama Oljoro kule. Sasa sijui ww unataka kuizamisha wapi.
Kama unataka gari za Shamba tafuta Pick up mkuu kwa ushauri wangu tu. Hakuna gari ya Shamba kati ya hzo hapo juu.
Mijini na miji midogo yote utatembea lkn ukisema unataka kuzama Kigoma, mara Arusha kwenye makorongo achana nayo utakufa na presha Mil 30+ ni pesa mingi kuchezea mkuu.
Ushauri wangu tu mkuu.
Shida ya hii mijadala wengi wanaoshiriki si wamiliki wa Magari yanayojadiliwa na wachache kati yao wanamiliki magari.
Now, Tanzanian Sweetheart![emoji16][emoji16][emoji16]
Dar es salaam sweatheart
Mimi ninayo na sijaona hiyo issue shida ni uendeshaji na service wabongo hatufanyi pia mafundi Shabani miyeyusho wanaharibu gari we gereji unakuta fundi ananyundo ya kuvunjia kokotoKaka ukitaka amini you buy any European car utaelewa tu...wala utakiwi kuhadithiwa
Hii sentence imewaponza sana watu wengi.Ni rahisi kuiongea Ila utekelezaji wake Sasa.dunia ni Kijiji kimoja so spea utapata tu hata kama gari inherently ipo exposed to so many failures possibilities (kama most of European, Korean, American sndnd few japanese car brands)..mfuko wako tu.
Subaru na kitu kinaitwa comfortability mara nyingi Ni vitu visivyoendana.Hapa ni personal preference ila binafsi ningeenda na Foreater. Nategemea forester kuwa safe zaidi (stability barabarani kwa sababu ya asymmetricalfour wheel drive, na kuwa low centre of gravity na safety features kama vile eyesight). Pia nategemea iwe slightly more comfortable than vanguard. Tho ina downsides kidogo kama cvt transmission ila sio big deal
Na sisi wa Spacio tunacoment wapiSubaru na kitu kinaitwa comfortability mara nyingi Ni vitu visivyoendana.
Nyie Cha msingi mko kwny mabati yenye tairi 4 na engine mkuu 😄Na sisi wa Spacio tunacoment wapi
Kluger Ina ukubwa gan? Ujinga tupuHizo gari ni ndogo ndiyo!!! Ukizungumzia gari kubwa orodha yake ni pamoja na Nissan Patrol, Kluger, Isuzu Trooper, Land cruser nk
Safi sana mdauVanguard haitakupa headaches hasa kwenye spares na mafundi na reliability kwa ujumla. Mengine ni personal preferences ingawa nafikiri iko overpriced kidogo kulinganisha na hizo gari nyingine, labda kwa sababu ya umaarufu wake (kama Rav4)
Watu wa Vanguard tumeshindaNow this is the comment i wanted...though Subaru wenyewe wana all wheel drive system nzuri sana(asymmetric all wheel drive) ipo very active kuliko ya van guard kwakua ya vangaurd all wheel drive system yake ina engage when necessary where by pale traction inapopotea kwa front tires basi electric clutch ya vanguar iliyokua integrated kwenye rear differential huwa ina engage nakufanya tairi za nyuma zitoe support kwenye ku drive gari ingawa power kwenye tairi za nyuma inakua less than 50% so power support ya tairi ya nyuma kwenye serious offloading basi all wheel drive system ya vanguard inaweza isikusaidie kabisa unlike ya subaru..
Kwenye kuchanganya speed vanguard ana advantage ya giabox so ana attain high speed quick fast kuliko Subaru. Na pia at higher speed vanguard anatembelea rpm ya chini kuliko subaru because subaru apo na fixed gear ratio wakati vangaurd because of CVT ana infinite gear ratio so the car always is in perfect gear ratio depending on various driving conditions kwa hapa vanguard anaweza kua na speed ya 100kmh kwenye rpm ya 1.5 wakati subaru Forester XT atapata same speed but kwa rpm 2+..so pia inakua translated kwenye fuel consumption/economy....so vanguard ipo more fuel efficient kuliko subaru Forester XT japo vanguard ina engine kubwa
Kwenye upande wa hauling, because of gear box design subaru inaweza tumika kuvuta vitu (towing) kwakua gearbox yake ipo physical gears whereas vanguard haiwezi tumika kwenye kufanya towing kwakua ipo na belt driven gear box system (yaan CVT transmission) so chance ya slippage under heavy load hauling ipo very likely na kupelekea premature failure ya transmission kama Nissan dualis..(so hapa kama wanunua gari between these two care zingatia wataka gari kwa matumizi gani.
Subaru Forester XT(SH5) ina seat zipo chini na uncomfortable ukilinganisha na vanguard.. vanguard ina occupants room kubwa kuliko subaru..
Vanguard ni reliable na durable kuliko subaru..(boxer engine by design inafanya iwe na some common engine problems kuliko vanguard though advantage ya boxer engine inafanya gari isiwe na vibration sana kama inline engines.
Kwa ndani Subaru inaonekana kidogo ipo modern kidogo compared to vanguard (yaan layout ya dashboard ya vanguard ipo very basic compared to subaru.
In terms of traction control systems, Subaru ipo advanced kuliko vanguard.
Something to note: Subaru engines zipo na issue ya PCV (positive crunk-case ventilation) system ku block kutokana na sababu including poor quality oil..so hii system iki block it causes all bunch of problems kwa subaru engines...hizi issues ni Severe oil leakage na kuuwa head gasket..and these are common issues.