Mabasi sijawahi elewa spidi zake. Anaweza kupita hata ukiwa 160. Yeye anakuletea tuIki kicarina nikauze tu haiwezekani kisahani kinasoma 140kph lakini nakuja kupitwa na sauli kirahisi hivi kama nimesimama
Yes...ni gap less.Uzuri wa CVT mwanzoni inawahi kuchanganya. Haina Lags kama za AUTOMATIC TRANSMISSION.
Hivi kuna gari inayosumbua steering kama Subaru mzee. Watu wangu zaidi ya watatu wenye subaru non-turbo tatizo hilo limewakuta mpaka wamefunga hyrdaulic steering wameachana na ile ya umeme.Subaru ndio kila kila spare ukifunga umefunga utasahau hiyo vangurd zinasumbia sana upande wa steling power ikianza sumbua gari utaliona kopo spare yake ni adimu sana
Soma uelewe , vua nguo lala na tumbo binuka rudia kusoma tenaUna uhakika walikuwa wanakimbizana na wewe?
Subaru Forester inatembea hiyo vanguard hawezi kumuona alipopoteleaSubaru ndio kila kila spare ukifunga umefunga utasahau hiyo vangurd zinasumbia sana upande wa steling power ikianza sumbua gari utaliona kopo spare yake ni adimu sana
Kukimbia Ni jambo moja kula tuta Ni jambo jingineLabda dereva awe mwoga
Wewe uje upunguze spidi kupanda tuta mwenzako keshalivuka yuko mbele yako
Hakuna Carina ti yenye kumaliza kisahani ukishafika 130 km/h utarudi mwenyewe mguu Kati maana maana gari inakuwa kama upo ya maji balance yote inapotea.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 CARINA sidhani hata kama itamaliza 180KPH zote ikiwa ishachoka.
Nguvu sio torque Ni hpAsee naona kuna watu hawajui spec nyingi za engine..kuna cc, kuna horse power na kuna kitu kinaitwa torque..sasa nguvu ipo kwenye torque... power multiplication ya cc na horse power..ntatoa mfano unakua kuna mlorry wa mchina una horse power 380 lakini kacheck torque yake....
Kuhusu Brevis na LC 200..brevis anaweza achwa na lc 200 mkuu tena mbali..kwakua lc ina torque kubwa sana.. pia ina top speed kubwa (260) wakati brevis ana 180..tena high way brevis hafati kabisa.
Ipo ya UN hapa hii ya miaka haizidi mitatu nyumaivi unaijua klugger au unaona hizi za bongo za 2006!??
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 NomaHakuna Carina ti yenye kumaliza kisahani ukishafika 130 km/h utarudi mwenyewe mguu Kati maana maana gari inakuwa kama upo ya maji balance yote inapotea.
Carina ti sifa yake kubwa ni imara kama treni ila kwenye ishu za speed usijaribu
Wale jamaa wanakimbia mnooo aiseSiku moja wajaribu fata nyuma ya V8 za Ikulu zikiwa zinarudi Base baada ya kumpeleka Bosi
Niliwahi onana na Gari za Ikulu zinarudi kutoka Mwanza wale watu wanakimbia
Upo sahihiHivi kuna gari inayosumbua steering kama Subaru mzee. Watu wangu zaidi ya watatu wenye subaru non-turbo tatizo hilo limewakuta mpaka wamefunga hyrdaulic steering wameachana na ile ya umeme.
Design ya steering ya umeme ndo inafanya tatizo la steering rack kungonga kwa ndan liwe ni inherent...angalia hata Toyota zenye steering ya umeme hasa hizi ambayo mota yake ina kaa juu kwenye dashboard..utakuta zinasumbua sana mguu wa kushoto mbele.. but kwa Toyota zinakuja na steering ya umeme alafu mota yake ipo juu huku kwenye dashboard modification yake ni rahisi kidogo.. nilikua nakutana na changamotoo hii kwenye kibakuli changu kilichokuja na steering ya umeme...kila mwaka nilikua na nunua steering rack complete..baadae nkachukua steering ya hydraulic bila kutoa system ya umeme nka-install steering rack ya hydraulic nikakata pipe zile zinazokuja kwenye power steering...basi ikaendelea tumia system ya umeme huku nime install steering rack ya mfumo wa hydraulic..mwaka wa tatu huu sina issue tena ya steering kugonga ndani ya shaft.Hivi kuna gari inayosumbua steering kama Subaru mzee. Watu wangu zaidi ya watatu wenye subaru non-turbo tatizo hilo limewakuta mpaka wamefunga hyrdaulic steering wameachana na ile ya umeme.
What i mean with higher torque, many adjustment can be done to gear ratios to attain high speed..Nguvu sio torque Ni hp
Torque is just turning force
Where turning force times angular speed ndo unapata hp
Kama torque ndo kigezo gari zote zenye torque kubwa zingekuwa tishio
Ogopa gari yenye hp kubwa hizo kina lambo , Hennesey, agera nk Ni horse power zake ndo zinafanya gari ikimbie kiasi kile
Chukulia mfano 1JZ GTE with 280hp huwa Ina torque kidogo tu somewhere 377nm zidi ya lc200 diesel yenye torque 625+ nm
Unachopaswa kujua Ni kwamba engine ambazo zinakaribia kulingana na zinatumia fuel ya aina moja Basi yenye torque kubwa ndo yenye hp kubwa..ukisema una compare engine za aina mbili tofauti mafuta tofauti huwezi chukua kigezo Cha torque kuwa ndo kitafanya gari ikimbie sababu diesel hazizunguki Sana ila Zina torque kubwa at lower rpm
Gari za diesel kawaida hizi za kutembelea huwezi kuta gari Ina hp 200 na haijafikisha torque zaidi ya 370nm ila gari za petrol hp 200 at 5500rm au 6000rpm torque hata haifiki 300nm ila diesel hp 200 torque inaeza kuwa 400+ nm
Horse power zako ndo zitaamua ukae nyuma au mbele
unasema V8 kwenye kona inanguka wale jamaa wana lala nayo😂😂😂Wale jamaa wanakimbia mnooo aise
Unaweza badili diff ukaweka yenye ratio ndogo kidogo ila haitakufanya kufikia speed kubwa ambayo hukuwahi fika na diff ya awali Sana Sana itasaidia kupunguza engine rpms kwenye same speedWhat i mean with higher torque, many adjustment can be done to gear ratios to attain high speed..
Wana uzoefu uliopitiliza na umakini wa hali ya juu...mm najiulizaga usku huwa wanaonaje yale matuta ,mm tuta huwa naliona nikishalifikia na ndio maana napenda gari ya juu maana ya chini ntakua nashindwa kufukia matutaunasema V8 kwenye kona inanguka wale jamaa wana lala nayo😂😂😂