Mwangajamiitz
Member
- Jan 28, 2022
- 25
- 71
Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako. Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana kiwango ulichoweka Meter kuu ya Tanesco. Kisha utaziingiza kwenye Submeter yako na umeme utarejea kama kawaida kwako. Utengeneza Wa Token unachukua nusu dakika. Kwa mawasiliano ZAIDI 0757838927. Ukihitaji nakuja kukufungia...