Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Laki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii NzuriAsante Ili kwako usikatike itakubidi ununue mbili ni sawa na 260,000. Sababu ya kufungiwa mbili moja ni kudhitibiti mtu asitumie kwenye Mita ya Tanesco.
Ambapo hiyo subway inafungwa na Tanesco au ?Ipo subway, ambapo ukishaifunga wewe utaweka unit kwenye mita kuu kisha zitahamia kwenye submit yako, ikiwa mita kuu ilikua na unit 3 kisha wewe ukaweka unit 20, basi hizo 20 zina transfer kwenda kwenye submitter yako halafu mita kuu inabaki na zile 3. Kwa hiyo hata mita kuu umeme ukikata baada ya hizo 3 kuisha wewe utaendelea kupata umeme kama kawaida.
😂😂😂😂,Basi haina msaada mkubwa
Nikajua ukikata kwako unabaki.
Kumbe nami nakaa giza kama wenzangu, tofauti tu ni kwamba wakichangishana wao, mie natulia tu.
Ila wote tunakaa giza hata siku 2...bado haisaidii 🤔
Haisaidii 😂😂😂Basi haina msaada mkubwa
Nikajua ukikata kwako unabaki.
Kumbe nami nakaa giza kama wenzangu, tofauti tu ni kwamba wakichangishana wao, mie natulia tu.
Ila wote tunakaa giza hata siku 2...bado haisaidii 🤔
Asante kumbuka sub inategemea sorce ya Umeme kutoka Main Meter mwenye kunielewa atanielewa. Ndio maana tunashauri ufunge sub mbili moja kwa Ajili yako na kwa Ajili ya wengine hapo háta wao wakitumia wakwao ukiisha watabaki na Giza ila wewe utaendelea kuwa na umeme. Kwa Sababu umewa manage.Ipo subway, ambapo ukishaifunga wewe utaweka unit kwenye mita kuu kisha zitahamia kwenye submit yako, ikiwa mita kuu ilikua na unit 3 kisha wewe ukaweka unit 20, basi hizo 20 zina transfer kwenda kwenye submitter yako halafu mita kuu inabaki na zile 3. Kwa hiyo hata mita kuu umeme ukikata baada ya hizo 3 kuisha wewe utaendelea kupata umeme kama kawaida.
150000 1pcNdo shi ngapi hiki kifaa mkuu
Sasa hii movement inabidi ianzishwe na mwenye nyumba ambapo yeye atamiliki mita kuu ambayo unit zake hazipaswi kutumika. Hata zikitumika ina maana mwenye nyumba awajibike kununuaBasi haina msaada mkubwa
Nikajua ukikata kwako unabaki.
Kumbe nami nakaa giza kama wenzangu, tofauti tu ni kwamba wakichangishana wao, mie natulia tu.
Ila wote tunakaa giza hata siku 2...bado haisaidii 🤔
Ameelezea kwamba mkifunga wote unakuwa haukosa, au Kun iyo ya 260,000 hat waspofunga unakuwa haukosi, mfatilieHaisaidii 😂😂😂
Walete ya kujiwekea mwenyewe
Nimeongeza tu kwamba zipo za Subway na mimi ndio natumia. Hata umeme ukikatika mita kuu bado kwako utawakaAsante kumbuka sub inategemea sorce ya Umeme kutoka Main Meter mwenye kunielewa atanielewa. Ndio maana tunashauri ufunge sub mbili moja kwa Ajili yako na kwa Ajili ya wengine hapo háta wao wakitumia wakwao ukiisha watabaki na Giza ila wewe utaendelea kuwa na umeme. Kwa Sababu umewa manage.
Ndio unaweza kuiacha kwa makubaliano Yenu. Utawasiliana nami nitabidili Jina.Hapo nilifunga sh ngpi atajibu mtoa mada, kuhusu kuhama nayo inaezekana, lakni pia unaeza mwachia anaekuja Tena akaurejeshea Hela yako.
Ko kuna submitters na subway meters? Au unamaanisha je?Nimeongeza tu kwamba zipo za Subway na mimi ndio natumia. Hata umeme ukikatika mita kuu bado kwako utawaka
Ndio unajiwekea unaingiza Token mwenyewe. ila unaanza Kuingiza kwenye Mita kuu.Ila cha msingi ni ile kila mtu ajiwekee wake. Mkifanikiwa kutengeneza hicho, mambo yatakuwa super sana
Ila mtoa mada kasema suluhisho lipo. Unaweza funga mbili, moja ya kuwekea unitsza kuja kwako na ingine ya kuzitumia hizo units.Haisaidii 😂😂😂
Walete ya kujiwekea mwenyewe
Inasaidia kujua matumizi yako binafsi ya umeme.Basi haina msaada mkubwa
Nikajua ukikata kwako unabaki.
Kumbe nami nakaa giza kama wenzangu, tofauti tu ni kwamba wakichangishana wao, mie natulia tu.
Ila wote tunakaa giza hata siku 2...bado haisaidii 🤔
Haina msaada kabisaBasi haina msaada mkubwa
Nikajua ukikata kwako unabaki.
Kumbe nami nakaa giza kama wenzangu, tofauti tu ni kwamba wakichangishana wao, mie natulia tu.
Ila wote tunakaa giza hata siku 2...bado haisaidii 🤔
Hapo kwenye kujua nani ana matumizi makubwa ni pazuri zaidi na nimepapenda.Inasaidia kujua matumizi yako binafsi ya umeme.
Kwenye nyumba hizi za kupanga, watu wengine wana matumizi makubwa ya umeme ndipo utajua umuhimu wa kufunga sub meter.
Baada ya kufunga sub meter, siwazi tena kuhusu umeme
Sana.Haina msaada kabisa
Tanesco wangekuja na wazo la kila chumba kiwe na mita yake hakika wangepiga hela.
Ipo ya hivyo.Ila cha msingi ni ile kila mtu ajiwekee wake. Mkifanikiwa kutengeneza hicho, mambo yatakuwa super sana
Mf. Nyumba mmekuta kuna ile ya ukutani 1… naifanyaje kupata yangu ya peke yangu?Ipo ya hivyo.