Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

Sana.
Kila mtu anajiwekea atakavyo.
Ils ngoja tuone.
Teknolojia inakua kwa kasi siku hiz....ni suala la muda tu
Soon zitakuja meters zenye channels; unachagua channel unayotaka kuwekwa umeme. Channel ikiishiwa umeme inakata bila kuathiri channels nyingine zenye salio. Simple badala ya kuwa rundo la submeter ukutani worse enough mwenye nayo kama sio mwenye nyumba akihama anang'oa. Usumbufu!
 
ww hujaelewa unasemea zile sub meter za elfu40 ndo maana hizi za bei kunwa ziko advanced ukinunua 2 kama anavosema ile meter kunwa itagawa kwa wapangaji unit zao kama watakavoweka na zako zitaenda kwa mita yako ile meter kubwa umeme wa wengne ukiisha inakata ...lkn kama ww umeweka uniti 28 umetumia 20 salio kwenye meter kuu litakuwa unit8 ambazo n zako kule kwingne itakata yaan n kama mgawo tu
Mkuu mimi nimenunua mwenyewe kwa hela yangu baada ya hapo ndo mwenye nyumba akaamua kufungia kila mpangaji. Bado itahitajika umeme uwekwe unaojitegemea kwenye mita kubwa ili submita zifanye kazi. So nazungumza jambo la uhakika.

Kuhusu kununua mbili ninemuelewa ila naona bado ni usumbufu maana still bado utahitajika mita kubwa ile iwe na umeme ambao pia ni wa kununua.

Submita unapunguza tatizo ila huondoi tatizo moja kwa moja suluhisho ni kununua Luku yako ya tanesco.
 
Tatizo Wafanyabiashara wa kibongo wanakamua mpaka damu.

Hivo vidude mchina anauza 14$-18$ ila sasa kimfikie mbongo utajua hujui.

Faida ni muhimu ila kutengeneza mazingira ya kupata super profit ni ubepari uliotukuka.

Samahani mwenye uzi wake siharibu biashara yako, nimeguswa tu, inawezekana nawewe una chukua kwa mtu.
Mimi ninuavyo bei 110k-120k na kuna 140k-150k ila yeye kaweka kuanzia 130k.
 
Mkuu mimi nimenunua mwenyewe kwa hela yangu baada ya hapo ndo mwenye nyumba akaamua kufungia kila mpangaji. Bado itahitajika umeme uwekwe unaojitegemea kwenye mita kubwa ili submita zifanye kazi. So nazungumza jambo la uhakika.

Kuhusu kununua mbili ninemuelewa ila naona bado ni usumbufu maana still bado utahitajika mita kubwa ile iwe na umeme ambao pia ni wa kununua.

Submita unapunguza tatizo ila huondoi tatizo moja kwa moja suluhisho ni kununua Luku yako ya tanesco.
Basi itakuwa haina tofauti na zile za 20,000
 
Ila mtoa mada kasema suluhisho lipo. Unaweza funga mbili, moja ya kuwekea unitsza kuja kwako na ingine ya kuzitumia hizo units.

Ila ni wenye nyumba wachache ambao wanakubali hili suala, unajua kwanini....wenye nyumba nyingi mjini huwa wanawanyonya wapangaji kwa kutumia token zao.
Anajifanya ana-collect pesa ya umeme, kumbe yeye upande wake hatoi.
Wananyanyasa sana.
Bora mtu upate kiupande chako ujitegemee kwa kila kitu.

Na sahv kuna mavitu kibao ya umeme.
Yanini tujitese?
"Wenye nyumba tuna mbinu nyingi, ukitutoka katika umeme tutakupata tu hata katika maji, ukizidi sana tunaona umepapenda kwetu halafu mjanja mjanja tuna mitoto yetu mikorofi itakuibia.😀

Ukiendelea kukomaa tutapandisha bei za vitu vya ajabu ajabu kama vile usafi, tutawakumbusha wazawa wenzetu kukukomalia pesa ya ulinzi na usafi wa jiji tuwapokelee ili uwe haupumui, mida ya utulivu na mkeo ndio tunagonga mlango kukukumbusha 😀

Ukiwa mwema, mwema tutakuwa tunakupiga piga mizinga na kukopa kopa, yani kwa kifupi sera ni mpangaji asi relax ajenge haraka, au akodi nyumba nzima. Ukikaa na sisi wewe ni familia yetu kwa manufaa yetu, shda zetu zinakuhusu ila zako inategemea
Mkitubana sana kwa sababu ni ya urithi tutauza,tunaenda kukuza tena mji pembezoni na kuendelea kuwabana"

NATANIA ILA INAKUJA KUJA HIVIIII KAMA KWELI
😀
 
Doh🙃!!
Kwahiyo hapa lazima pesa yangu iliwe kinamna yoyote ile :BanHammer::BanHammer::BanHammer:!!!
Hatari sana
 
Back
Top Bottom