Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Hapa nilipopanga, umeme kwa mwezi nilikuwa nalipa 20,000. Ukiangalia matumizi yangu ni TV, Kuchemsha maji kwenye jagi, Sabufa, taa na kuchaji simu kibaya zaidi natoka saa 1 asubuhi na kurudi saa 12 jioni. Usiku mpk saa 5 nakuwa nimelala.Hapo kwenye kujua nani ana matumizi makubwa ni pazuri zaidi na nimepapenda.
Ila mtoa mada kasema suluhisho lipo
Kumbe kuna mpangaji hapa alikuwa anatumia friji lile la kizamani. Tangu nimefunga Sub meter siwazi tena masuala ya umeme.