Submeter Suluhisho la wamiliki na wapangaji Wa nyumba

Ambapo hiyo subway inafungwa na Tanesco au ?
 
Asante kumbuka sub inategemea sorce ya Umeme kutoka Main Meter mwenye kunielewa atanielewa. Ndio maana tunashauri ufunge sub mbili moja kwa Ajili yako na kwa Ajili ya wengine hapo hΓ‘ta wao wakitumia wakwao ukiisha watabaki na Giza ila wewe utaendelea kuwa na umeme. Kwa Sababu umewa manage.
 
Basi haina msaada mkubwa
Nikajua ukikata kwako unabaki.
Kumbe nami nakaa giza kama wenzangu, tofauti tu ni kwamba wakichangishana wao, mie natulia tu.
Ila wote tunakaa giza hata siku 2...bado haisaidii πŸ€”
Sasa hii movement inabidi ianzishwe na mwenye nyumba ambapo yeye atamiliki mita kuu ambayo unit zake hazipaswi kutumika. Hata zikitumika ina maana mwenye nyumba awajibike kununua
 
Nimeongeza tu kwamba zipo za Subway na mimi ndio natumia. Hata umeme ukikatika mita kuu bado kwako utawaka
 
Haisaidii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walete ya kujiwekea mwenyewe
Ila mtoa mada kasema suluhisho lipo. Unaweza funga mbili, moja ya kuwekea unitsza kuja kwako na ingine ya kuzitumia hizo units.

Ila ni wenye nyumba wachache ambao wanakubali hili suala, unajua kwanini....wenye nyumba nyingi mjini huwa wanawanyonya wapangaji kwa kutumia token zao.
Anajifanya ana-collect pesa ya umeme, kumbe yeye upande wake hatoi.
Wananyanyasa sana.
Bora mtu upate kiupande chako ujitegemee kwa kila kitu.

Na sahv kuna mavitu kibao ya umeme.
Yanini tujitese?
 
Basi haina msaada mkubwa
Nikajua ukikata kwako unabaki.
Kumbe nami nakaa giza kama wenzangu, tofauti tu ni kwamba wakichangishana wao, mie natulia tu.
Ila wote tunakaa giza hata siku 2...bado haisaidii πŸ€”
Inasaidia kujua matumizi yako binafsi ya umeme.
Kwenye nyumba hizi za kupanga, watu wengine wana matumizi makubwa ya umeme ndipo utajua umuhimu wa kufunga sub meter.
Baada ya kufunga sub meter, siwazi tena kuhusu umeme
 
Haina msaada kabisa
Tanesco wangekuja na wazo la kila chumba kiwe na mita yake hakika wangepiga hela.
 
Inasaidia kujua matumizi yako binafsi ya umeme.
Kwenye nyumba hizi za kupanga, watu wengine wana matumizi makubwa ya umeme ndipo utajua umuhimu wa kufunga sub meter.
Baada ya kufunga sub meter, siwazi tena kuhusu umeme
Hapo kwenye kujua nani ana matumizi makubwa ni pazuri zaidi na nimepapenda.
Ila mtoa mada kasema suluhisho lipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…