Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako. Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana kiwango ulichoweka Meter kuu ya Tanesco. Kisha utaziingiza kwenye Submeter yako na umeme utarejea kama kawaida kwako. Utengeneza Wa Token unachukua nusu dakika. Kwa mawasiliano ZAIDI 0757838927. Ukihitaji nakuja kukufungia...
View attachment 2949919View attachment 2949920View attachment 2949921
Kutoa laki 260 kufunga submita mbili si bora niongezee 60k iwe 320k nipate mita ya tanesco.
Unaanza kuweka umeme kwenye Mita kuu kwanza halafu ndio unaamishia kwenye Submeter. Kama umeweka umeme Wa 10000 ambao ni sawa na Unit 28kwh unauamisha hivyo kwenye Submeter yako. Na Submeter yako Itakuonyesha Unit 28kwh unapoanza kutumia utaanza kushuka mpaka kuwa Unit 00kwh hapo umeme utakuwa umezima kwako. Ukitaka tena unajaza kwenye Meter kuu. Halafu unauamisha kwenye Submeter yako. Hakikisha kila mmoja awé amefunga Submeter isitokee amechukukua umeme moja kwa mojá kwenye Meter kuu.Hata wakifunga wote bado itahitajika mita kubwa iwe na umeme unaojitegemea ili zenu zifanye kazi. Kumbuka ukiweka umeme na kujinunulia tayari unakua umehamisha zile unit kwenye mita kubwa kwenda kwenye mita yako. Ndo maana mfano mita kubwa ikiwa haina umeme na weww ukanunua umeme na kuweka mita kubwa ili uhamishie kwenye mita ndogo huo umeme hautaingia.
Asante Kwa Ujumbe wako. 321+40-50 contractor +urefu Wa waya 8mm.. ila sio bei Kubwa sana kwa Mita nne au Tano sio mbaya.Kabisa. Huo ulazima wa kufunga submita mbili bado ni kero pia. Ni bora kuongezea 60k na kupata mita ya Tanesco.
Watu wanataka submita moja tu imalize kero kwa mhusika. Kila mpangaji apambane kivyake.
Zipo submeter za aina mbili. Moja unaweka umeme kwenye mita kuu halafu ndio unajaza kwenye mita yako kupitia app. Nyingine unajaza umeme moja kwa moja hakuna mambo ya app.Mkuu Jaluo_Nyeupe , ongeza maelezo hapa.
Unanunua mita mbili, moja unaunga kwako nyingine unaunga kwa wapangaji wengine. Hizi za kununua umeme moja kwa moja bei yake zipo juu kidogo. Araound 180k kwa moja.Mf. Nyumba mmekuta kuna ile ya ukutani 1… naifanyaje kupata yangu ya peke yangu?
ww hujaelewa unasemea zile sub meter za elfu40 ndo maana hizi za bei kunwa ziko advanced ukinunua 2 kama anavosema ile meter kunwa itagawa kwa wapangaji unit zao kama watakavoweka na zako zitaenda kwa mita yako ile meter kubwa umeme wa wengne ukiisha inakata ...lkn kama ww umeweka uniti 28 umetumia 20 salio kwenye meter kuu litakuwa unit8 ambazo n zako kule kwingne itakata yaan n kama mgawo tuHii inapunguza tu ila suluhisho ni kuweka mita yako.
Nyumba ninayokaa kila mpangaji anatumia hiyo ila ni lazima wote tuchangie umeme wa mita kubwa shida inakuja pale kuna watu hawataki kuchangia inakua mtihani.
Nashauri kama unataka suluhisho la kudumu heri mwenye nyumba akuwekee mita ya tanesco ya kwako.
Hii inaepusha zile kadhia za kuchangishan mafano elf 10 per each pale umeme unapoisha maana ww unalipa kadri ulivotumiaHata wakifunga wote bado itahitajika mita kubwa iwe na umeme unaojitegemea ili zenu zifanye kazi. Kumbuka ukiweka umeme na kujinunulia tayari unakua umehamisha zile unit kwenye mita kubwa kwenda kwenye mita yako. Ndo maana mfano mita kubwa ikiwa haina umeme na weww ukanunua umeme na kuweka mita kubwa ili uhamishie kwenye mita ndogo huo umeme hautaingia.
Inasaidia mfano Ile kero ya kuchangia wote pale umeme unapokata Tena the same rate. Hiyo inaishaKama ni hivyo, basi hazisaidii watu wanavyotaka iwe. Kero ipo pale pale.
inaniuma sana kuwa wachuuzi badala ya watengenezaji!Hii Submeter inakupa uwezo Wa kuweka kiwango cha Unit zako mwenyewe kulingana Pesa uliyolipa. Na Unit zako zikiisha umeme utazima kwako peke yako. Wengine wataendelea kutumia Umeme. Ili kupata Unit zingine, Utanunua umeme utaweka kwenye Luku kuu ya Tanesco halafu utatengeneza Token kulingana kiwango ulichoweka Meter kuu ya Tanesco. Kisha utaziingiza kwenye Submeter yako na umeme utarejea kama kawaida kwako. Utengeneza Wa Token unachukua nusu dakika. Kwa mawasiliano ZAIDI 0757838927. Ukihitaji nakuja kukufungia...
View attachment 2949919View attachment 2949920View attachment 2949921
Kuwa serious kidogo mkuu unataka tucheke ama.inaniuma sana kuwa wachuuzi badala ya watengenezaji!
hii ni project ya undergraduate udom,udsm na must ila meter zinatokea china!
hujui usemalo!Kuwa serious kidogo mkuu unataka tucheke ama.
Hivyo vyuo vyote hapo umetaja ni siasa hamna shule ya maana hapo ya kuzalisha watu wa kufanya makubwa.
Na shida sio hivyo vyuo shida ni serikali yako haijafanya uwekezaji wa kutosha.
Kwa hiyo msiwalaumu wanafunzi bali serikali ndio ya kubeba lawama.
Tumefanya hivyo kwenye apartments zetu ila ndo gharama kishenzi kila mita uilipie 320960, ila inapunguz kelele zisizo za lazimaHaina msaada kabisa
Tanesco wangekuja na wazo la kila chumba kiwe na mita yake hakika wangepiga hela.
Yaani amesema hv, nunua vimita 2, apart from mita ya wote.Kwamba hata unit zikiisha kwenye main meter ya Tanesco, mie kwenye submita yangu umeme utaendelea kuwaka as per my units? Hii sasa ndiyo watu wanataka... kila mpangaji atumie umeme wake binafsi, sio mambo ya sharing mita.
Japo nashindwa kuelewa, inawezekanaje submita iendelee kupokea umeme wakati Main Mita (Tanesco/supplier) inasoma 0 unit?!!!
au wewe Madame B umemuelewaje huyu ndugu Kulupango ?
Kazi ni ile ile.Kutoa laki 260 kufunga submita mbili si bora niongezee 60k iwe 320k nipate mita ya tanesco.
Oka mkuu.Submita yenye kutumia bando ina range 110k- 120k na ambayo hautumii bando kuweka umeme 140k-150k
Najua mkuuHuwez Sasa na swali LA muhimu kwann akataze??
, by the way akikataa huna namna ya kufanya mana hii sub
Sawa mkuu.Hapo
Unatakiwa uwe na mbili au wao wabaki na sub mita wew ubaki na mita kuu yani wao ndio wa tumie iyo su