Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Unaruhusiwa kuota muda wowoteHuyo sugu...this time hashindi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaruhusiwa kuota muda wowoteHuyo sugu...this time hashindi
Sugu atatepeta tu mud si mrefuWasanii wanaogopa baada ya uchaguzi kwisha kama alikuwa anashabikia chama pinzani anakuwa amepoteza maana atabanwaaa,hata hao watu silikali sio wote ccm wengine wanalinda vyeo vyao tu
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
We babu hauna haya na hizo ramli zako?Huyo sugu...this time hashindi
Ataambulia aibu kama.ya alitemtuma. 2020 sio mchezo .Hakika dada alikosea sana kumuamini mshauri wake Mzee Magufuli, namshauri akatafute kazi nyingine.
Namsubiri Rais wa Mbeya kata ya Nzovwe!
Mbona simuoni kwenye kampeni bishost?Hii hapa ni kata ya Igawilo jioni hii
View attachment 1565519View attachment 1565520
Kumbuka hilo ni jeshi dogo tu la Mbeya mjini akiwemo kamanda John Mwambigija
Wazazi wangu Mimi na wazazi wako wewe ndio watakaompigia huyo mwingine lakini siyo sugu...mnyoosha kidole bungenikama wapiga kura ni wazazi wako pekee basi sawa
Ili kuwa FAIR, tuonyeshe na ule mtiti wa mgombea wa CCM, Dr.Tulia Ackson; kwa kufanya hivyo utakuwa mlinganishi mwema na siyo MSHABIKI!Hii hapa ni kata ya Igawilo jioni hii
Kumbuka hilo ni jeshi dogo tu la Mbeya mjini akiwemo kamanda John Mwambigija
Vile vitoto vya primary...hapana JF inajali haki za watoto wetu.Ili kuwa FAIR, tuonyeshe na ule mtiti wa mgombea wa CCM, Dr.Tulia Ackson; kwa kufanya hivyo utakuwa mlinganishi mwema na siyo MSHABIKI!
Aliyekuambia tunalinganisha ni nani ? mimi nakuwekea ya Sugu wewe weka ya TuliaIli kuwa FAIR, tuonyeshe na ule mtiti wa mgombea wa CCM, Dr.Tulia Ackson; kwa kufanya hivyo utakuwa mlinganishi mwema na siyo MSHABIKI!
Kamahamlinganishi basi mnafanya USHABIKI!Aliyekuambia tunalinganisha ni nani ?