Uchaguzi 2020 Sugu aendelea kuiteketeza CCM Mbeya Mjini, aanzisha operesheni Kata kwa Kata, hebu angalia mtiti wake

Uchaguzi 2020 Sugu aendelea kuiteketeza CCM Mbeya Mjini, aanzisha operesheni Kata kwa Kata, hebu angalia mtiti wake

Mkuu,Vichwa vyako vya Thhreads huwa Vinaburudisha sana/Changamsha/Tia Hamasa.


Hongera Sana...!
 
Hii hapa ni kata ya Igawilo jioni hii

View attachment 1565519View attachment 1565520

Kumbuka hilo ni jeshi dogo tu la Mbeya mjini akiwemo kamanda John Mwambigija
Mbona simuoni kwenye kampeni bishost?
JamiiForums635980308.jpg
 
Dada Tulia wala hana wasiwasi, anajua Mzee akipitishwa atateuliwa tu.
Tulia tulia tuliii mwaya...
 
CCM walidanyanyana sana ndani ya hiki kipindi cha miaka 5.

Kuna wanasiasa wanajuta!!
 
Ili kuwa FAIR, tuonyeshe na ule mtiti wa mgombea wa CCM, Dr.Tulia Ackson; kwa kufanya hivyo utakuwa mlinganishi mwema na siyo MSHABIKI!
Aliyekuambia tunalinganisha ni nani ? mimi nakuwekea ya Sugu wewe weka ya Tulia
 

Attachments

  • IGAWILO _fire__fire__fire__fire__fire_..... - TukutaneOktoba28 - TutashindaNaTutatangazwa - Sa...mp4
    2.2 MB
Back
Top Bottom