Sugu akutana na Mzee Joseph Butiku, atoa ofa kwa Taasisi ya Mwl Nyerere

Ni muhimu kutambua kwamba kukutana na CCM yeyote ni kuchota busara
 
Baada ya CCM kukataa kutubu, wazee wanapekeka baraka upinzani.

Tanzania ni Moja tu, ila chama Si CCM pekee, CHADEMA pia yaweza kuongoza Nchi na tukaishi Kwa Amani.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Amen
πŸ’πŸŽπŸŽ–οΈ
 
Ukimiliki Milioni 1+ wewe ni milionea na ukimiliki Bilioni 1+ wewe Tayari ni Bilionea, ni hivyo tu,usiumize kichwa Saana.
 
Mm hayo ya ubilionaire sjataka jiingiza sina data makini na sion ka ishu.Hongera kwake kwa kuongeza platform ya kutupambania watanzania
 
Kwani hiyo taasisi ya Mwalimu Nyerere bado ipo? Haisikiki au waliamua kuacha kufanya makongamano kwa kukosa waongeaji au wasikilizaji?
 
Hotel yake ni ya kawaida sana!
Pumbavu wewe unayo?,kabla ya kulalama kodi yako inavyoliwa kwenye lile jengo lenye Serena Hotel Dsm wewe unakazana kulalama jinsi mwanaume mwenzako alivyotumia akili na kujenga hotel, lile jengo ni wanabadilisha majina wa waendesha hotel ,kuonekana ni wawekezaji wapya na nchi inapoteza kodi, jiulize why SHERATON HOTELS waliondoka?,duniani kuna hotel bado SHERATON wanaziendesha more than 50yrs!!,upumbavu ni mtaji wa royal families
 
Wee mburula bilioni ni sawa na milioni elfu moja. Sasa je thamani ya hoteli ya Sugu haifiki?

Wivu tu unakusumbua!
 

Acha ufala wako wewe pumbavu sana! Wewe unaniuliza mimi kuwa ninayo? Ile siyo hoyel kwa taarifa yako bali ni kahoteli tu! Mbupu zako wewe!
Nakuonea huruma inaonesha wewe hujaenda shule hata ya Kata hapo! Ndiyo maana bado unashangaa mambo ya Sheraton hotel ! Kenge wewe popoma!
 
You feel better now!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…