Sugu amnunulia mpenzi wake gari la kifahari!!

Duh
 
Duuuuuh, ndio kwanza leo nimejua kuwa Lexus Harrier ni gari ya kifahari.( kwa mujibu wa mleta mada)
 
Sidhani kama Sugu anajua maana ya kuwa kiongozi...hizi show off zinafanywa na Wasanii, Wanamichezo au Wanajamii wengine lakini sio mtu aliyesimama jukwaani na kuiaminisha jamii yake kuwa amekuja kuwatumikia alafu yeye anaishi sayari nyingine.

Huku ni sawa na wanao wanakupigia simu wana njaa nyumbani baba unatuma picha upo Kempinski unafanya party ya birthday.

Mi nilidhani uongozi ni kujinyima....

Kule Nertheland Waziri anatumia baiskeli huku kwetu Mbunge anagawa zawadi ya Gari kwa girlfriend.
 
Ngoja namimi nitafute mheshimiwa lol!
 
Sugu amesota sana bila ndoa..mungu ambariki aisee na amfute machozi.. kama humjui sugu na background yake utaona wivu. Ila jamaa amepambana sana. Si utani
 
hizi ndo aina za wanawake wa sugu kumbe na hayo mavazi basi faiza hakukosea kuvaa vile
 

Ubunge unalipa
Ndio maana jana alikuwa anatetea poshoo [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…