Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Sugu ashinda kesi dhidi ya Faiza kuhusu malezi ya mtoto, Faiza aomba nafasi ya kujirekebisha

Status
Not open for further replies.
Soma post namba 98

Daaaaaahh!!

Asante nimeiona hiyo post #98 .

Umejua kupangua mpira wa penalt!!!!!!!!!!

Binafsi nilitaka kushangaa kwani sitegemei mtu kama wewe unaweza kufanya mambo kama hayo ya huyo mwenye jina linalofanana na lako.

wewe ni mtu makini hata hapa katika post zako unaonekana.

Honngera sana, endelea hivyo hivyo.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
ukisoma comments za wadada humu utagundua aina ya wamama tulionao kwa maisha ya sasa.

huwezi kuwa unategemea mtoto ndio awe mtaji wa kukufanya wewe uishi na kufanya ujinga mwingine.

mtoto wa kike hawezi hata siku moja kulelewa na mama wa hivi utegemee atakuwa na maadili yoyote kwa jamii.

ni aibu kumtetea mama wa hivi ati kisa ni mwanamke mwenzio

Tena anataka alipiwe nyumba,sasa itakuwa nyumba au Guest mchepuko.
 
ukiona wanawake wanaotetea huu ujinga ulikuwa unafanyika huyu faiza basi ujue hata hao wana tabia mbaya kama huyo mwanamke .mwanamke una mtoto wa kike halafu unakuwa na tabia kama hizi za faiza unategemea mtoto wako atakuja kuwa na tabia gani. miss chagga mtani wangu uko poa .
niko pouwa sana
 
Kwa ujizi wa huyu demu usikute aliwahi hata kupigwa miti mbele ya mtoto wake. Kwa mtu anayeweza vaa nusu uchi hawezi kuwa na aibu ya kufanya ngono hadharani.
 
naweza kukubaliana na mahakama kwa upande wa kipato..kwamba faiza hana kipato cha kumlea mtoto vizuri..lakini kwa aadili,sioni kama sugu ana maadili mazuri kushinda ya mama yake.wanasema anapulizaga kwa sana..sasa unadhani kwa mazingia hayo mtoto yuko kwenye mikono salama?..shughuli za kibunge zilivyo sugu lazima awe ana safiri sana na muda mwingi hayuko nyumbani,je atakua anaandamana na mtoto?..akimwacha hao anaowaachia ana uhakika mtoto atakua salama zaidi kuliko mkononi mwa mama yake?..ningekua shangazi wa mtoto ningeomba tuyajadili kama familia...kw aajili uya mtoto na sio kupelekana mahakamani maana naamini ina athari kwa saikolojia ya mtoto....still naamini hakuna mtu anaweza mpenda mtoto kuliko mama yake mzazi!...miezi tisa tumboni si mchezo..labour sio mchezo

Hilo la kupuliza nani ana ushahidi wa wazi? Vipi kama anavuta sirini na anakuwa poa tu?
Ya mama mtu kila mtu anajua anavyovifanya
 
Nao wananchi wa Mbeya Mjini nao hamnazo, utamchaguaje mwendawazimu kama Sugu anayetembea na kuzaa na hamnazo kama Faiza? Mwanaume mwenye akili sawa sawa hawezi kufuata malaya kama yule. Huu ni wakati wa wana Mbeya kujipima ili Oktoba ikifika muamue mambo ya maana. Tupa mbali sugu na Faiza.

Heee!! Mkuu, tukiwa na sheria ya mitandao hapa unashitakiwa kabisa, maana umewatukana sana Faiza na Sugu, na sijui kama una ushahidi wa haya usemayo.

Lakini zaidi ya hilo, unaona Sugu kafanya kosa sana kuliko wale wabunge na vigogo ambao ni mashoga? Labda kwanza ungeanza na kuwashauri watu juu ya wabunge wao hao kabla ya kusema haya juu ya Sugu.
 
Mie ni muumini wa kutetea kuhusu mahusiano ya mavazi na tabia ya mtu, lakini kwa huyu bidada na pamba zake hata kama ni mama bora inakuwa ngumu kuamini kama anatekeleza majukumu yake vizuri (ukitaka kuhoji vizuri embu fanya assumtion huyo alikuwa mke wa kaka yako au mwanao uone kama itakuwa sawa)
aisee nisingeweza vumilia kwa kweli
 
ukisoma comments za wadada humu utagundua aina ya wamama tulionao kwa maisha ya sasa.

huwezi kuwa unategemea mtoto ndio awe mtaji wa kukufanya wewe uishi na kufanya ujinga mwingine.

mtoto wa kike hawezi hata siku moja kulelewa na mama wa hivi utegemee atakuwa na maadili yoyote kwa jamii.

ni aibu kumtetea mama wa hivi ati kisa ni mwanamke mwenzio

Mkuu Nyalotsi, sio hivyo, inabidi uwaelewe hawa dada zetu kwa nini wanamtetea mwanamke mwenzao. Kwa wanawake wengi kitendo cha mtoto kuchukuliwa na kuwa mbali na mama, hasa katika umri wa Sasha, ni kigumu sana kwao, na labda inabidi uwe mama kulielewa hili. Kumbuka watoto huwa wako at their sweetest kuanzia 1.5 - 4 years, wakati bado hawajajenga personality ambayo unaweza kuwakasirikia kirahisi.
 
naunga mkono hukumu ya mahakama...na natumia fursa hii kudeal na sugu na wanaume wenzangu wote.

1- ifike pahala wanaume tuangalie hata hawa malaya tunaotaka kugonga ili kusafisha rungu....madhara yake ni haya tunayoyaona kwa sugu na hatujui kama hii kesi ingeunguruma kwa miezi minne ingekuwaje kwa muheshimiwa suguna ubunge wake wa mbeya.
2- sugu nahisi una-kaugonjwa ka kupenda wazee na vibibi vyeupe na machepele full mapepe. huyu ni faizza na matukio yake...ukiongezea ya shairose demu wa jafarai uliyechapa fasta na kumega kisela napata picha naye angekuzalia haya ya faiza yangetokea muda si mrefu.
3- sugu pia ulichelewa kufuatilia tabia mbovu za huyu mzazi mwenzio....mbona kipindi kile unampiga chini ulitakiwa uchukuwe na mwanao umlee mwenyewe yeye akatafute bwana aolewe au aishie kugongwagongwa kama bodi la daladala.
4- sugu jipange aisee...bora ukosee kujenga nyumba tutavunja ukuta...wewe sasa ni kioo cha jamii...jamii inaangalia mpaka hiyo fremu iliyoshikilia kioo cha jamii (hapa namaanisha hata mkeo/mchumba anatakiwa awe na calibre ya u-kioo wa jamii) sio unaokotaokota mangalangala kama gari la taka la budege....itakuharibia sana. hebu rudi nyumbani huko mbeya ukapewe mama wa maana mwenye afya zake na aliyekula akashiba....haka kafaiza ulikuwa unafaidi nini sasa kamtu full mifupa anaumwa hujui mzima hajulikani.
5- na mwisho ni somo kwetu wanaume....kuna mademu wa kugonga na ndomu na kumwaga kule na wapo wa kupiga kavu famillah liwalo na liwe...hata akitokea mtoto unajivunia na kusikia raha kusema huyu ni mzazi mwenzangu mungu katujalia mtoto mmoja.
 
Dada Faiza kuna wakati nilidhani wewe ndio something ya Sugu, kumbe sio! Ila nahisi mnge-match vizuri, maana na wewe kwa hoja kama mwanasiasa!

Kwanza kile ni kitoto kidogo sana kwangu, nnahisi hata mwanangu wa kwanza ni mkubwa kwa yule.

Pili, hana vigezo.

Kweli usilolijuwa ni usiku wa kiza. Sikulaumu.
 
Kwanza kile ni kitoto kidogo sana kwangu, nnahisi hata mwanangu wa kwanza ni mkubwa kwa yule.

Pili, hana vigezo.

Kweli usilolijuwa ni usiku wa kiza. Sikulaumu.


Santa bi mkubwa kijana hajui km waliokuwa na twahara hawafai kuolewa na wasiokuwa na twahara
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom