Duh.......
1. Unacompare jinsi anavyo takiwa kubehave mbunge na jinsi wanavyo behave comedians? Au unataka kusema Sugu ni mchekeshaji? Kama ni hivyo sawa.
2. Kwa hiyo lugha ikitumiwa na Ze Comedy basi imehalalishwa kutumika na kila mtu? SMH! I'm dumbfounded by your analysis.
nimeipenda hiiWahuni wa namna hii ndiyo tunaowataka nchi hii! siyo uhuni wa ngono kama wa ........... Utamalizia mwenyewe ukipenda.
Msimamo wa Sugu kuhusu Fiesta ni Msimamo wa Chadema! Hata lugha ya Mr Sugu kuwa waandaaji wa Fiesta ni Wase.nge ni baraka za Kamati Kuu ya Chadema!
magamba mna shida nyie! status ipi? Mr Sugu aligombea akiwa msanii na alipiga kampeni kisanii na wananchi wakamuelewa wakampa kura za kimbunga...tatizo lenu magamba ni unafiki...mnafikiri kufuga vitambi vikubwa na kusinzia bungeni kama wa..si...ra...na Kooomba...ndo uwakilishi???Tuacheni ushabiki, maneno aliyosema Sugu ni utovu wa nidhamu kwa wapiga kura wake ambao wengi walihudhuria hilo tamasha. Hatuwezi kuwa na viongozi wa namna hii ambao hawana subira na stara kwa yale wanayoyaamini au labda Sugu hafanani na status yake?
what makes u think kuwa maisha ya mtu na siasa lazma ziambatane kila wakati? senator schawznigger (sijui kama nimepatia spelling,sorry) akiwa kwenye movies huko ni full ma-kiss na kutakana akiingia mjengoni ni kazi.kutukanana kwenye fiesta ndo mahali pake huko!
Baraza la mitihani linanihusu nini mimi mkulima wa Mchichira? au matusi ya mbunge kwenye maswala yake yanatuathiri vipi sisi huku kwetu? Sisi tunaumizwa sana na maneno matamu na yenye busara yanayotumiwa na wezi wakubwa wanaotudhurumu kila uchao korosho zetu na ufuta tunaolima kwa gharma kubwa. Majizi yanayotumia maneno mataumu kujilimbikizia posho wakati akinamama zetu wanaahidiwa bajaji kupelekewa vituo vya afya ambako hata huduma hazipo. Kama matusi ya mbunge huyo yataleta ukombozi kwa vijana wenzake basi ni bora kuliko maneno mazuri yanayo endeleza umaskini.Kwa hiyo ukiwa na hamu ya kumtukana mwalimu shuleni umtukane tu, ukiona system ya baraza la mitihani inakunyanyapaa mwanafunzi, wakati wa kujibu masuala yale jaza matusi au vipi? Si tunaweka hisia wazi ya nini kuficha?
Kapata faida gani kwa kumwaga matusi facebook? Imewauia hao wezi? Je hao walengwa hata wameona ujumbe? Tuache unafiki kwa kutetea alichofanya hakumsaidii bali kunambomoa. Kulikua hakuna haja ya matusi unaweza tumia maneno ya ukali bila kutukana. SIjui ni nini haswa mnacho tetea hapa???
Hapa nilipo nasikiliza wimbo wa ROMA unaokwenda kwa jina la mathematics kuna kipande kinasema sirudishi kadi kama na Nakaya...hivyo mjinga kama wewe ukirudisha siyo tatizo...Alichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebook
kama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.
Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"
so please if that is true then msiondoe hii thread.
Hivi unajua hao clouse FM wanavyo wafanyia uhuni wasanii mimi naona acha awape tena kama ananafasi siku wakija Arusha aje tutamuunga mkono...Kakosea Sugu, aangalie sana maneno anayoyasema sasa yasije kum cost huko mbele
Nani kakwambia kuwa jimbo ni miliki ya mtu mmoja au nilazima agombee yeye tu? mbona haya ni mawazo mgando. Mbeya ni jiji lenye watu kibao.Huyu jamaa aangalie sana na chadema inabidi wamsaidie huyu sugu sivyo jimbo hilo litawatoka mwaka 2015
Nimeipenda sanaJamani ee! Mr Sugu hafanyi usanii wala ubunge mnaosema, mr sugu anaeleza uhalisia wa hao awasemao kwamba ni.....!nyie mnataka awapongeze ? hapa hakuna kutafuna maneno kama vile wizi fulani kuuita takrima! sugu yupo ndani ya mstari ,asiependa kutukanwa kwa mdomo na wao wasitukane kwa vitendo vyao vya kis ........e! na anaetaka kurudisha kadi akatafute na wenzake 1000 na hamna shida!
Hata Batrida Burian alisha nitukana baada ya kumuonyesha vidole viwili...Wakuu lets be fair, Sugu ni binaadamu kama mimi na wewe anakosea na anapatia isiwe issue kubwa namna hiyo. Kwani hatuyakumbuki ya Ngeleja pale ATM matusi aliyongurumisha na ni waziri? Sofia Simba je? n.k. kwahiyo tumtakie mema.