Mkuu,wapiga kura wake wanamwelewa vema Mbunge wao,nilikuwa Mbeya kikazi jana,nimejionea mwenyewe,ninachoweza kukwambia,wapiga kura wake wako pamoja na mbunge wao.Habari kamili waulize CloudsKupata attention ya rika mbalimbali? Ata pata attention ya watu kama wewe tu ila watu wazima watampotezea na hata vijana wenyewe uelewa watamuona hana maana.
Kama ambavyo ccm ni chama cha kifisadi na wala rushwa! au ufisadi na ulaji rushwa ni hulka ya mtu binafsi na si itikadi ya ccm!?Hahahah..kama mambo yenyewe ndio haya mmmh! Halafu utakuta mtu anajiita Great Thinker halafu ana Kadi ya chama cha kihuni kama cha huyu mheshimiwa!!!
Nani anawaogopa? Tungekua tunaogopa wabunge tusingekua tuna call out wabunge wakifanya makosa. Wenye nidhamu ya woga ni wewe na wenzako ambao mnaogopa kumsema "mheshimiwa" wenu sugu hata anapo kosea. Sasa kati ya mimi na wewe nani mwenye nidhamu ya woga? Yani unamuogopa SUgu mpaka akitukana unashindwa kusema kakosea? Duh....kweli unamuogopa.
Dai umeme na maisha bora kwa wote kwanza ndo uje upige kelele hapa. Wewe na magamba wenzenu mnatulostisha. Maisha magumu huduma mbovu afu bado mnatuzingua. Pita leo barabara ya tandale kwenda sinza yaani ni mashimo kama unakwenda kandahar aaarggh mnazingua magamba
Kwa hiyo akiwa kitaa na washkaji aongee kibungebunge, akitembea atembee kibungebunge, akienda beach aogelee kibungebunge, akila ugali ale kibungebunge, akienda msalani ajisaidie kibungebunge, akiwa anafanya mapenzi afanye kibungebunge, OMG! kila kitu kibungebunge au kila jambo na mazingira yake?Sugu saizi ni mbunge anatakiwa kuwa makini hizi kauli za kihuni zitamualibia
kwenye msafara wa mamba ata kenge pia wamoKosa la jinai kutukana watu, wamchukulie hatua za kisheria.
Hahahah..kama mambo yenyewe ndio haya mmmh! Halafu utakuta mtu anajiita Great Thinker halafu ana Kadi ya chama cha kihuni kama cha huyu mheshimiwa!!!
Wewe endeleni tu kuchangia upupu,kwenye topic ya umeme kukatika hujachangia hata kitu kimoja, yes tunajua kila kitu kinachoendelea kwenye hiyo sector ya umeme ndio maana babako yako anatetea so subirini tu,mwaka 2015 tutawabana tu sasa hivi si mnachonga,na fahamu msemo unaosema kila kitu kina mwanzo na mwisho.......so msifikiri mtaongoza milele nyinyi CCM.Sijapata kuona wabunge wahuni kama Sugu na Lema! hata kama upatani na mtu uwezi kuandika matusi hivyo kama vile mvuta bangi, Sugu angekuwa sio mbunge wala hakuna angaelalamika, mbunge kutoa matusi ni ujinga wa hali ya juu
Mwone na huyu naye,unakurupuka tu na kuandika upupu,MBOYE ndio nani??hujui hata unayemzungumzia?stupid....CHADEMA is led by a mobster Mboye, no wonder the surbodinates copy their prexy's ways. Mboye has yet to enoxerate himself from allegations that he is an infamous marijuana smoker. Imagine in the future having these type of hooligans acting as our ministers, this should never happen during my life time. I am not stupified when I see these 'leaders' coax desperate youths into deluging streets, doing vandalism under the umbrella of peaceful demonstrations.
Mkuu,wapiga kura wake wanamwelewa vema Mbunge wao,nilikuwa Mbeya kikazi jana,nimejionea mwenyewe,ninachoweza kukwambia,wapiga kura wake wako pamoja na mbunge wao.Habari kamili waulize Clouds
ninachotaka kusema hapa ujiunge na mtikila mfanye nn? brainlesssAlichoandika mr 2 sugu kuhusu fiesta kwenye wall yake ya facebookkama hii ndio chadema school of thought, muda si mrefu nitarudisha kadi niungane na mtikila.Mods in jf tunasema "where we dare to talk openly"so please if that is true then msiondoe hii thread.
true, Sugu alikubalije Ruge amtumie kama mdoli kutangaza Fiesta leo amgeuke?wakuu hata kama hiyo clip ni ya zamani lakini ukweli unabaki pale pale kwamba at one point in time aliiunga fiesta mkono na aliishabikia. Swali la kujiuliza ni kwa nini aliisaport fiesta then and why not now? au ni kwa vile ana ugomvi binafsi na ruge ndio maana amegeuza kibao? Mhe Mbilinyi siyo mkweli hata kidogo kwani hivi sasa ameanzisha hii movement kwa maslahi yake binafsi na kuwahadaa wananchi kwamba ana uchungu na wasanii wenzake. Hivi hao wasanii aliyowapeleka mbeya yeye amewalipa shillingi ngapi? sawa tunaweza kuwalaumu sana clouds kwamba wanawanyonya wasanii lakini ukweli lazima tuseme kwamba sugu hakuwa na nia ya kuwasaida wasanii kutoka moyoni mwake.
I don't know about all that raving for Clouds FM, ninachojua wasanii kibao wanalalamika kina Ruge wana wa screw in the rear end. Mfano dili la Malaria la Sugu, nina first hand knowledge of its origin and details, lilikuwa ni la Sugu mwanzo mwisho, wakaja kumnyang'anya kidhalimu, Clouds ni washenzi....Clouds pamoja na mabaya yote sugu aliyoeleza juu yao lakini bado wanafanya kazi nzuri ya kuwapa changamoto wasanii watunge nyimbo nzuri ili zipigwe kwenye radio yao! na kusema ukweli wasanii wengi tu wamekuwa wanajitahidi kufanya hivyo ili watoe nyimbo nzuri. Lakini utakuta wakongwe wa muziki kama sugu, afande sele, danni msimamo, g solo, mkoloni wamekuwa wakiijifanya wanajua sana mziki na matokeo yake ngoma zao zimekuwa hazikubaliki na ndiyo maana zimekuwa hazipigwi clouds. Sasa hii ni hasira wanayotaka kuleta ili kuikomoa clouds lakini sidhani kama itasaidia lolote.
Na wewe pia unahukumu kundi la watu (chama) kwa tendo na sio hata matendo ya mtu mmoja?!Tena akiwa nje ya ofisi?!What a shame!Hahahah..kama mambo yenyewe ndio haya mmmh! Halafu utakuta mtu anajiita Great Thinker halafu ana Kadi ya chama cha kihuni kama cha huyu mheshimiwa!!!
vipi wahuni wanaoiba gesti?Hahahah..kama mambo yenyewe ndio haya mmmh! Halafu utakuta mtu anajiita Great Thinker halafu ana Kadi ya chama cha kihuni kama cha huyu mheshimiwa!!!
Msimamo wa Sugu kuhusu Fiesta ni Msimamo wa Chadema! Hata lugha ya Mr Sugu kuwa waandaaji wa Fiesta ni Wase.nge ni baraka za Kamati Kuu ya Chadema!