Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

Huyu jamaa ni zaidi ya Royal Tour, ziara yake ya siku chache tena bila gharama kubwa ya kuumiza Nchi, Imezaa matunda ya kutisha!

Hapa akiwa na Mbunge wa Jimbo

View attachment 3259149

Hapa akiwa na Mstahiki Meya

View attachment 3259151View attachment 3259152View attachment 3259153View attachment 3259154
Aminia sana Kwa kamanda Sugu.The hustle is real. Mbeya mjini should elect this dude again, and not that bitch-ass bootlicker of Samia and CCM member, Tulia Akson who she's there because of Magufuli's favor.
 
Kama tungekuwa na watu kama hawa angalau 100 tu Nchini Tanzania, Nakuhakikishieni Nchi yetu isingekuwa na Chawa hata mmoja
Jana nimetazama documentary kuhusu yule jamaa aliyetaka kumpindua tshekedi, nikagundua kuwa kwa afrika ni muhimu kupiga picha na wazungu ili ...
 
Zelenski amehaidi 50% ya rare earth minerals. Ndio apatiwe msaada.

Sisi CHADEMA tutatoa ahadi zipi. Tambua mkoa wa mbeya umebarikiwa na rare earth minerals, labda hata kuishinda Ukraine.

Sugu mnafikiri atatoa ahadi zipi kufanikosha azma yake ya kupata misaada?💭
Chadema watoe ahadi ipi ilihali maliasili zote ccm imegawa kwa warabu mkuu
 
Back
Top Bottom