Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

Yaani wewe ni zero brain...hujioni kama ww ni chawa wa huyu jamaa?
Kama tungekuwa na watu kama hawa angalau 100 tu Nchini Tanzania, Nakuhakikishieni Nchi yetu isingekuwa na Chawa hata mmoja
 
Kama tungekuwa na watu kama hawa angalau 100 tu Nchini Tanzania, Nakuhakikishieni Nchi yetu isingekuwa na Chawa hata mmoja
Unajikuna na unacheka mwenyewe,kipi amefanya sugu kigeni kuliko wengine kama siyo kujilimbikizia mali!!
 
Mimi ni Tajiri pia, Huyo Mwamba Tulikutana naye Wimbledon kwenye kongamano la Diaspora.

Mimi siyo Kapuku wa kuvalishwa kofia za SSH au fulana za Mama ongea na mwanao wanazovaa akina Shilole
Hatujuani humu zaidi ya kutumia majina ya bandia, uongo unaweza kuhalalishwa na yoyote yule kwani sifa ya binadamu ni kujikweza.

Chawa wa Mbowe wa miaka mingi kwa kuyasoma maandishi yako mengi.
 
Hatujuani humu zaidi ya kutumia majina ya bandia, uongo unaweza kuhalalishwa na yoyote yule kwani sifa ya binadamu ni kujikweza.

Chawa wa Mbowe wa miaka mingi kwa kuyasoma maandishi yako mengi.
Mimi niko Chadema na naandika ya Chadema, halafu Chadema haina fungu la kulipa mnawaita Chawa, kwanza wakiiwepo chadema watakimbia njaa, maana hizo hela za kuwapa hakuna
 
Why is Salem known for witches?

Salem was fairly closed minded and ignored the witch trials until around the hippie era which is also the same time that modern witchcraft became very popular in the US and those things coinciding made Salem an extremely open-minded place and that is why there's real witches today.
 
Mimi niko Chadema na naandika ya Chadema, halafu Chadema haina fungu la kulipa mnawaita Chawa, kwanza wakiiwepo chadema watakimbia njaa, maana hizo hela za kuwapa hakuna
Sijaanza kufuatilia siasa za nchi hii jana wala juzi, namjua Mbowe kabla hata hajawa kiongozi wa CHADEMA miaka ile akishinda pale Mbowe Hotel. Naijua hulka yake ya kuwanunua wanachama wanaokuwa karibu na yeye wakimuunga mkono.

Mbowe ana tabia ile ile ya CCM ya kununua wanachama wenye kufanya kazi ya kukisafisha chama mitandaoni.
 
kupiga picha na wazungiu ndiyo matunda ya kutisha kwa chadema halafu sasa cha kuchekesha sugu wala haongelei chadema huko yupo na mambo yake tu
Chadema kiongozi wao akienda hata kujisaidia choo cha hotel ya mzungu utaona post humu mleta mada kaweka yenye kichwa mheshimiwa akiiwakilisha chadema barabara akiingia kwa mazungumzo ya siri kwenye chemba na mzungu
 
Sasa unalia nini?
 
Shigongo kaenda US Kutibiwa baada ya kulogwa kwao lakini karudi kaitisha na Waandishi wa Habari! Porojo kibaaaooo
Ukute ndio kafoji huu upumbavu
IMG-20250305-WA0064.jpg
 
Winston-Salem adds safety measures to LGBTQ Pride events​

Amefata fedha kutoka kwa Team LBGTQ+ ....Hiyo ni aibu
 
Bila support ya Chadema anakwenda kupelekwa kibra! Na vile alikula hela ya mama Abdul kupitia kwa Wenje, wana Mbeya Hawamtaki kabisa.!!🧑🏿‍🏭
 
Back
Top Bottom