Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

Sugu azidi kutikisa Marekani, Atafuta uwekezaji kwenye Afya na Utalii

Bila support ya Chadema anakwenda kupelekwa kibra! Na vile alikula hela ya mama Abdul kupitia kwa Wenje, wana Mbeya Hawamtaki kabisa.!!🧑🏿‍🏭
Uongo hautakusaidia chochote
 
Kama Kweli ameamua kugombea wakati wenzie wanasema “ no reforms no election “ basi hapo uongo wangu utadhihirika!
Muwe mnahakiki taarifa kabla ya ya kuzisambaza, mtadhalilika jamani
 
Muwe mnahakiki taarifa kabla ya ya kuzisambaza, mtadhalilika jamani
Ndio maana nimeanza na “ kama Kweli”! Kuna Tetesikuwa upepo wa mama Abdul kupitia kwa Wenje na wewe ulikupuliza huko Mbeya !! Key word hapo ni Tetesi.
 
CDM inaendelea kupaa kimataifa wao CCM wapo wanadonoana midomo kisa udiwani na Ubunge.
 
Back
Top Bottom