Kama tungekuwa na watu kama hawa angalau 100 tu Nchini Tanzania, Nakuhakikishieni Nchi yetu isingekuwa na Chawa hata mmoja
Unajikuna na unacheka mwenyewe,kipi amefanya sugu kigeni kuliko wengine kama siyo kujilimbikizia mali!!Kama tungekuwa na watu kama hawa angalau 100 tu Nchini Tanzania, Nakuhakikishieni Nchi yetu isingekuwa na Chawa hata mmoja
Hawa ndio viongozi tunaowataka CCM hawawezi vitu hivi.Huyu jamaa ni zaidi ya Royal Tour, ziara yake ya siku chache tena bila gharama kubwa ya kuumiza Nchi, Imezaa matunda ya kutisha!
Hapa akiwa na Mbunge wa Jimbo
View attachment 3259149
Hapa akiwa na Mstahiki Meya
View attachment 3259151View attachment 3259152View attachment 3259153View attachment 3259154
Chawa ni nini?Yaani wewe ni zero brain...hujioni kama ww ni chawa wa huyu jamaa?
Sasa kinachokuliza nini?Unajikuna na unacheka mwenyewe,kipi amefanya sugu kigeni kuliko wengine kama siyo kujilimbikizia mali!!
Hatujuani humu zaidi ya kutumia majina ya bandia, uongo unaweza kuhalalishwa na yoyote yule kwani sifa ya binadamu ni kujikweza.Mimi ni Tajiri pia, Huyo Mwamba Tulikutana naye Wimbledon kwenye kongamano la Diaspora.
Mimi siyo Kapuku wa kuvalishwa kofia za SSH au fulana za Mama ongea na mwanao wanazovaa akina Shilole
Mimi niko Chadema na naandika ya Chadema, halafu Chadema haina fungu la kulipa mnawaita Chawa, kwanza wakiiwepo chadema watakimbia njaa, maana hizo hela za kuwapa hakunaHatujuani humu zaidi ya kutumia majina ya bandia, uongo unaweza kuhalalishwa na yoyote yule kwani sifa ya binadamu ni kujikweza.
Chawa wa Mbowe wa miaka mingi kwa kuyasoma maandishi yako mengi.
Sijaanza kufuatilia siasa za nchi hii jana wala juzi, namjua Mbowe kabla hata hajawa kiongozi wa CHADEMA miaka ile akishinda pale Mbowe Hotel. Naijua hulka yake ya kuwanunua wanachama wanaokuwa karibu na yeye wakimuunga mkono.Mimi niko Chadema na naandika ya Chadema, halafu Chadema haina fungu la kulipa mnawaita Chawa, kwanza wakiiwepo chadema watakimbia njaa, maana hizo hela za kuwapa hakuna
Chadema kiongozi wao akienda hata kujisaidia choo cha hotel ya mzungu utaona post humu mleta mada kaweka yenye kichwa mheshimiwa akiiwakilisha chadema barabara akiingia kwa mazungumzo ya siri kwenye chemba na mzungukupiga picha na wazungiu ndiyo matunda ya kutisha kwa chadema halafu sasa cha kuchekesha sugu wala haongelei chadema huko yupo na mambo yake tu
Sasa unalia nini?Chadema kiongozi wao akienda hata kujisaidia choo cha hotel ya mzungu utaona post humu mleta mada kaweka yenye kichwa mheshimiwa akiiwakilisha chadema barabara akiingia kwa mazungumzo ya siri kwenye chemba na mzungu
Nenda na wewe akupeSamia muhongaji mzuri!
Ukute ndio kafoji huu upumbavuShigongo kaenda US Kutibiwa baada ya kulogwa kwao lakini karudi kaitisha na Waandishi wa Habari! Porojo kibaaaooo
Tulia ana mbinu za kijinga sana!Ukute ndio kafoji huu upumbavu View attachment 3260644