Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 6, 2025 Thread starter #81 jingalao said: Amefata fedha kutoka kwa Team LBGTQ+ ....Hiyo ni aibu Click to expand... Huna akili
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 6, 2025 Thread starter #82 Ndinani said: Bila support ya Chadema anakwenda kupelekwa kibra! Na vile alikula hela ya mama Abdul kupitia kwa Wenje, wana Mbeya Hawamtaki kabisa.!!🧑🏿🏭 Click to expand... Uongo hautakusaidia chochote
Ndinani said: Bila support ya Chadema anakwenda kupelekwa kibra! Na vile alikula hela ya mama Abdul kupitia kwa Wenje, wana Mbeya Hawamtaki kabisa.!!🧑🏿🏭 Click to expand... Uongo hautakusaidia chochote
N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 Mar 6, 2025 #83 Erythrocyte said: Uongo hautakusaidia chochote Click to expand... Kama Kweli ameamua kugombea wakati wenzie wanasema “ no reforms no election “ basi hapo uongo wangu utadhihirika!
Erythrocyte said: Uongo hautakusaidia chochote Click to expand... Kama Kweli ameamua kugombea wakati wenzie wanasema “ no reforms no election “ basi hapo uongo wangu utadhihirika!
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 6, 2025 Thread starter #84 Ndinani said: Kama Kweli ameamua kugombea wakati wenzie wanasema “ no reforms no election “ basi hapo uongo wangu utadhihirika! Click to expand... Muwe mnahakiki taarifa kabla ya ya kuzisambaza, mtadhalilika jamani
Ndinani said: Kama Kweli ameamua kugombea wakati wenzie wanasema “ no reforms no election “ basi hapo uongo wangu utadhihirika! Click to expand... Muwe mnahakiki taarifa kabla ya ya kuzisambaza, mtadhalilika jamani
N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 Mar 6, 2025 #85 Erythrocyte said: Muwe mnahakiki taarifa kabla ya ya kuzisambaza, mtadhalilika jamani Click to expand... Ndio maana nimeanza na “ kama Kweli”! Kuna Tetesikuwa upepo wa mama Abdul kupitia kwa Wenje na wewe ulikupuliza huko Mbeya !! Key word hapo ni Tetesi.
Erythrocyte said: Muwe mnahakiki taarifa kabla ya ya kuzisambaza, mtadhalilika jamani Click to expand... Ndio maana nimeanza na “ kama Kweli”! Kuna Tetesikuwa upepo wa mama Abdul kupitia kwa Wenje na wewe ulikupuliza huko Mbeya !! Key word hapo ni Tetesi.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Mar 6, 2025 #86 CDM inaendelea kupaa kimataifa wao CCM wapo wanadonoana midomo kisa udiwani na Ubunge.
jingalao JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 36,197 Reaction score 29,717 Mar 7, 2025 #87 Erythrocyte said: Huna akili Click to expand... ukweli ni mwiba