Pre GE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chief, umewahi kukutana na mawazo usiyoyatarajia? Ulifanya nini baada ya hapo, ulitamani kujinyonga au ulitamani ujifukie aridhini?

Ukubwa siyo urefu wa kimo, jifunze kuvumilia wenzako, hutaki, kaa kimya

Na nikukumbushe pia hili, mwandiko wako hutumiwa sana na vilaza, Je wewe ni kilaza?

Jifunze kujadiri hoja uheshimike
 
MOJA YA WATU WAJINGA NA WAPUMBAVU KUWAHI KUTOKEA NCHI HII BASI NI WEWE JAMAA, TAKATAKA KABISA WEWE
Jifunze kuvumilia hoja za wengine, kama ni za kipumbavu, jadiliana yako ioneshe ulipo upumbavu wa hoja, na siyo kumjadili mtoa hoja!

Wewe hili ulichojadili ni cha kipumbavu na hujadiliwa na vilaza
 
 
Sugu atafute tu kingine cha kufanya, hiyo mikutano na mabalozi haitomfaa chochote kuurejesha ubunge.
Sugu ni mwenyekiti wa Chadema kanda ya Nyasa, hiyo nafasi ya kugombea Ubunge apewe mwanachadema mwingine.

Otherwise nitaona hata hao Chadema ni chama cha misukule tu, mtu mmoja hawezi kuhodhi nafasi zote

Majukumu ya ubunge na kujenga chana kanda nzima hayafai kushikiliwa na mtu mmoja.
 
Huo urais wa lipualipua alionao Tulia umekusaidia nini wewe?
 
Naunga mkono hoja,wajinga wasipewe nafasi ya kutuchagulia mjinga mwenzako
 
Raia aliyezaliwa Mbeya Mjini asingekuwa na fikra kama za kwako! Unless uwe ni Mzambia, M-Malawi au Kutoka Mozambique.
hoja ikiwa nzito bana na halafu ya kweli,
matokeo yake,
fikra za kibaguzi huubuka, na kwamba tuhuma za kutokua raia wa Tanzania zinaanza sasa

mara wewe ni mmalawi au mzambia n.k kama hivi yaan dah
 
MBONA KUNA BAADHI YA WABUNGE NI MAWAZIRI, HILI KWAKO LIMEKAAJE PENGINE? AU JICHO LAKO LINAONA UPANDE WA SUGU TU?
 
Nashauri Tulia agombee ubunge Busokelo au Rungwe, huko ni kwao pia, siasa za mbeya mjini awaachie wapinzani, pia hayo majimbo atakaa mda mrefu bila upinzani mkubwa kuliko mjini
 
Labda mfute uchaguzi katika jimbo la Mbeya au figisu za 2020 zifanyike!
Hata hivyo Tulia anaweza kuchaguliwa kuwa mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi 10 za mheshimiwa Rais then akaendelea na nafasi yake kuyawakilisha mabunge yote duniani.
Mkuu, Mimi ni Chadema mwenye msimamo wa kati, ki ukweli kabisa, Tulia asipotee kizembe
 
Nashauri Tulia agombee ubunge Busokelo au Rungwe, huko ni kwao pia, siasa za mbeya mjini awaachie wapinzani, pia hayo majimbo atakaa mda mrefu bila upinzani mkubwa kuliko mjini
Mbeya palepale mkuu
 
Atapewa Ubunge wa kuteuliwa ili mradi demokrasia ichukue mkondo wake. Ubunge wa nguvu utamvunjia heshima ya kimataifa na sifa ya kuongoza Mabunge. Suluhisho wazalishe jimbo lingine Mbeya mjini ili kulinda heshima yake.fullstop
Hata wakizalisha jimbo lingine atakutana na mwabukusi kule, nako hatatoboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…