dadamlamayao
JF-Expert Member
- Nov 1, 2022
- 243
- 841
Nadhani wewe ni miongoni mwa vijana wapuuzi kwa mwaka 2022,sasa shida ya Sugu hapo ni nini??mwaka mzima huu umeongoza kwa kuanzisha nyuzi kuilalamikia Sekretarieti ya Ajira na kuhudhuria Sahili zao nyingi DODOMA na zote umepigwa NDOIGE[emoji1787][emoji1787]tafuta Pesa nawe ukatikiwe hivyo,acha malalamishi kila siku JF,ukosefu wako wa Ajira usilete makasiriko kwenye starehe za watuKwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
Kila mmja atakimbia kulingana na speed yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo kiki ndizo zinampaisha paisha asisahaulike
Huna kioo kingine kwako?Ni kioo cha jamii,lazima tumtazame na tumkosoe.
Sasa Sugu asipofanya huo ujinga unategemea mtamuongelea kwa lipi na ndio maisha aloyazoea!!
Bahati nzuri wamekutana chupa na mfuniko.
Sugu hajawahi kugombea nafasi yoyote wiraya ya Chunya na Wala hajawahi kuwa na interest nako. Sema rais wa Mbeya mjinirais wa chunya
Wanaume hawaoi kiuno wanaangalia vigezo vingi Sanaa Kuna wanawake wa kuspend nao na wa kulea watoto,Sugu ameoa mwanamke mlezi ,kiunganishi,mpambanaji na anaejitambuaSitaki kumsema vibaya huyu manzi ......lakini ana kiuno kigumu kama steringi ya fiat........Baba Sasha naye kakausha Tu kama haoni kilichopo
Unamuonea wivu mwenye sura mbaya kaolewa na ana watotoHii mke wake ina sura na body mbaya halafu ni mama wa watoto wawili. Sijui anajivunia nini na huu ujinga..
Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
Umri ni namba tu mkuu ,utakumbuka hii ukifika miaka 50! Wakati una miaka 9 darasa la 7 ulikuwa unawaona ni wakubwa(Mijeba) ila na wewe ulivyofika la 7 ulikuwa unajiona mdogo ,right? Mwache afanya kitu roho yake inapenda.Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila mmja atakimbia kulingana na speed yake
Sugu na Lema ni aina ya takataka zilizofanikiwa kutokana na kushika masikio ya MASELA KOKO Oya oyaKwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
Cocastic tena [emoji1] nyuzi zako hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wabongooo wanapenda kupangiana maishaaa, khaaah, kila mtu ashinde match zake.
Sent using Jamii Forums mobile app