Sugu jaribu kuwa mtu mzima

Sugu jaribu kuwa mtu mzima

Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
Nadhani wewe ni miongoni mwa vijana wapuuzi kwa mwaka 2022,sasa shida ya Sugu hapo ni nini??mwaka mzima huu umeongoza kwa kuanzisha nyuzi kuilalamikia Sekretarieti ya Ajira na kuhudhuria Sahili zao nyingi DODOMA na zote umepigwa NDOIGE[emoji1787][emoji1787]tafuta Pesa nawe ukatikiwe hivyo,acha malalamishi kila siku JF,ukosefu wako wa Ajira usilete makasiriko kwenye starehe za watu
 
Sitaki kumsema vibaya huyu manzi ......lakini ana kiuno kigumu kama steringi ya fiat........Baba Sasha naye kakausha Tu kama haoni kilichopo
 
Sitaki kumsema vibaya huyu manzi ......lakini ana kiuno kigumu kama steringi ya fiat........Baba Sasha naye kakausha Tu kama haoni kilichopo
Wanaume hawaoi kiuno wanaangalia vigezo vingi Sanaa Kuna wanawake wa kuspend nao na wa kulea watoto,Sugu ameoa mwanamke mlezi ,kiunganishi,mpambanaji na anaejitambua
Ingekua kiuno kigezo Cha ndoa masteji show wote wangeolewa tukabaki sisi humu Saidia Mungu
 
Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.

Umri ni namba tu mkuu ,utakumbuka hii ukifika miaka 50! Wakati una miaka 9 darasa la 7 ulikuwa unawaona ni wakubwa(Mijeba) ila na wewe ulivyofika la 7 ulikuwa unajiona mdogo ,right? Mwache afanya kitu roho yake inapenda.
 
Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.

Sugu na Lema ni aina ya takataka zilizofanikiwa kutokana na kushika masikio ya MASELA KOKO Oya oya
 
Back
Top Bottom