Sugu kataja ubilionea wake! Wengine igeni mfano!

Watu wanajimix

Billionaire ni yule mwenye kitita cha 1 Billion USD kwenye bank account sio 1 Billion Tshs

Naomba ieleweke maana halisi ya Billionaire, hizo zingine ni faraja tu

I was here
I will be back
 
Okay sio mbaya kwa yeye na wadau wake..., ila binafsi ningependa kusikia zaidi akiongelea jinsi; Bongo Jua lilivyo la Utosi, Wasomi Wamejazana Hakuna Kazi Wengi Yamewakuta....

Au all is well ?!!!!
 
Bro huwa ana kaushamba flani hivi. Sasa naelewa ilikuwaje akajipata na yule BM wazimu. I'd understand if he flexed with a sick bar and what not.
 
Mzee usilinganishe ulaya na Tanzania huko wana mifumo imara hakuna Magumashi..........hivi bilionea aende kusubiri M12 kwa mwenzi pale bungeni hakuna bilionea mzee ....ela zenyewe za ubunge ikifika uchaguzi zinatumuka kuhonga wajumbe.
 
Mzee usilinganishe ulaya na Tanzania huko wana mifumo imara hakuna Magumashi..........hivi bilionea aende kusubiri M12 kwa mwenzi pale bungeni hakuna bilionea mzee ....ela zenyewe za ubunge ikifika uchaguzi zinatumuka kuhonga wajumbe.
Akili yako na utajiri viko mbali sana ndugu yangu. Kuna watu hela hawana ila angalau akili ya hela wanayo na wanaelewa mawili matatu kuhusu uwezo kiuchumi. Ila wewe reasoning yako hamna kitu kuhusu uwezo wa kifedha. Unadhani hela ni yale maburungutu ya fedha tu na hakuna kingine.

Hata tofauti ya cheo/wadhifa na kazi hujui. Unahisi kila anayefanya kazi anasubiri kulipwa hivyo vimilioni unavyoona ni vingi. Sasa tafuta wafanyakazi wa halmashauri kama hizi za Dar umwambie aache hiyo kazi ya kulipwa milioni moja aje kampuni binafsi alipwe milioni nne uone kama atakubali. Au mtoe mtu kitengo bandarini aache kufanya internship ya bure aajiliwe na mshahara wa laki 9 uone anavyokataa.
Utajiongeza kwanini.

Au unadhani makampuni ya nje kama Voda, TBL na CRDB yakiwa listed DSE yakaunda bodi na kuwepo wanasiasa wenye ushawishi ila vilaza kwenye biashara wanakuwa wajinga. Una safari ndefu kutambua
 
Kuna swala la CRDB..Akijibu tutajuwa ukweli
 
Maneno meeengi point hamna
 
Kwani Sugu ana pesa gani sasa!? Au unadhan Faiza ni kinyonge eeh
Namjuwa kuliko unavyofikiria
Mm najua alikuwa anatoka nje
Huku kavaa pichu kubwa tu kila
Mtu anamuona
Nyie mtu akishqfungua kiduka cha nguo za mchina bs bilionea

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…