The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kudos wanajamvi.
Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi.
Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwani TRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi ni Uzalendo.
Asante Sana Sugu kwa kuonesha uzalendo. Sasa umekomaa kisiasa na unatambua kwamba Nchi Ni muhimu kuliko Vyama.👍👍
Kudos bwana Sugu kwa huu ujumbe wa kizalendo👇