Kudos wanajamvi.
Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi.
Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwaninTRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi Ni Uzalendo.
Asante Sana Sugu kwa kuonesha uzalendo,Sasa umekomaa kisiasa na unatambua kwamba Nchi Ni muhimu kuliko Vyama.👍👍
Kudos bwana Sugu kwa huu ujumbe wa kizalendo👇
View attachment 2464348
Huyu nae ni mburula tu,anajiona mfanyabiashara,mziki ulimshinda,hakuweza kupata pesa,akaenda kwenye Siasa,akapiga pesa ya umma,kaanzisha hotel,anajiona bonge la mfanyabiashara!!
Watu wengi wanamtolea povu mond,sio kwa vile kawasema wapinzani,au halipi Kodi,kisa ni wivu tu,Dogo anapesa ndeefu,ambayo kaipata kwa jasho kupitia tasinia ya muziki iliyowashinda Hawa wakongwe njaa!Wanasikia uchungu,wao walianza gemu,wakatoka patupu,dogo kaja jana,amepiga pesa ndeefu,ana ukwasi,wao wanauona kwenye ndoto tu.
Hakuna anayejua msingi wa Malalamiko ya Mond kwa TRa,hakuna anayejua kama WCB inakwepa Kodi!!lakini watu wanatoa povu hatari!
Acheni chuki,ilibidi wasanii wawe kitu kimoja na Mond kujua nini kinaendelea kati ya WCB na Mapato!!kama Kuna uonevu uwekwe wazi,Ili kesho mtu mwingine asiwe victim,lakini Hawa motherfuckers wanaona huu ndio upenyo wa ku "settle scores"na Mond,
Mond kuwa pro ccm sio dhambi,
Kila mtu ana haki ya kisiasa.