Niga or negro kwa lugha rahis ni maneno yanayotumika kumrejelea mtu mweus labda uwe huna uelewa na maneno hayo yalitumika sana marekani miaka ya nyuma na nadhan mpaka sasa bado yanatumika though not to that extent.
SUGU alichoandika ni Sarcasm/KejeliUadui binafsi wake na msanii usijumuishe kukandamiza wananchi Kwa mamilioni wanaolia Kila siku na manyanyaso ya TRA kuhusu Kodi za kubambikizwa.
Huyu nae ni mburula tu,anajiona mfanyabiashara,mziki ulimshinda,hakuweza kupata pesa,akaenda kwenye Siasa,akapiga pesa ya umma,kaanzisha hotel,anajiona bonge la mfanyabiashara!!
Watu wengi wanamtolea povu mond,sio kwa vile kawasema wapinzani,au halipi Kodi,kisa ni wivu tu,Dogo anapesa ndeefu,ambayo kaipata kwa jasho kupitia tasinia ya muziki iliyowashinda Hawa wakongwe njaa!Wanasikia uchungu,wao walianza gemu,wakatoka patupu,dogo kaja jana,amepiga pesa ndeefu,ana ukwasi,wao wanauona kwenye ndoto tu.
Hakuna anayejua msingi wa Malalamiko ya Mond kwa TRa,hakuna anayejua kama WCB inakwepa Kodi!!lakini watu wanatoa povu hatari!
Acheni chuki,ilibidi wasanii wawe kitu kimoja na Mond kujua nini kinaendelea kati ya WCB na Mapato!!kama Kuna uonevu uwekwe wazi,Ili kesho mtu mwingine asiwe victim,lakini Hawa motherfuckers wanaona huu ndio upenyo wa ku "settle scores"na Mond,
Mond kuwa pro ccm sio dhambi,
Kila mtu ana haki ya kisiasa.
Akalipe sasa aache ujingaKuna mahala amenukuliwa HATAKI kulipa Kodi?
Unajua KAZI ya dawati la malalamiko kuhusu Kodi ktk Kila ofisi za TRA?
Itakuwa ni maoicha picha tu anatufanyia huyu domo. Hana utajiri anaotuaminisha kuwa anaoMtu anavaa Cheni ya Million 900 analia Kodi ya Million 700 ni Tanzania pekee
Eti ana hotel kubwa!aliipata wapi?akiwa MR 2,au akiwa Mheshimiwa Mbunge!!
It's not a rocket science,kukunja kiinua mgongo 200M+ukaanzisha hotel,Tena moja tu,
Angekuwa nazo kumi ingekuwaje?
Kipindi kile Cha Jiwe wakati wanatishia kuivunja,mbona Ali Lia Lia sana kama kweli ni kidume,fuckers
Kwamba SUGU anatuma UJUMBE Kwa wanambeya wa Jimbo aliwahi kulitumikia kama mbunge,
Anawambia walipe KODI waache kulialia.
Namuomba AYAMEZE maneno yake kama ataweza, asipoweza basi ATUBU.
Manyanyaso ya TRA kuomba RUSHWA Kwa wananchi ni makubwa.
Itakuwa ni maoicha picha tu anatufanyia huyu domo. Hana utajiri anaotuaminisha kuwa anao
Alafu kila kukicha anasema sjui kampa baba levo mwijak manara mamilion ya helaAkalipe tu kazoea kukwepa kodi. Juzi si amenunua helkopta
Wenyewe kwa wenyewe wanaitana hivyo ila hawataki kuitwa hivyo na Mzungu !Nenda leo Marekani na ukimuona African American yeyote mwite NIGGER uone kama utarudi ukiwa hai.
Kodi kulipa ni wajibu wa kila mtu !Hapa sio marekani ni Tanzania, which is not a big deal. Tulipe Kodi maana huwa tunadhani hii nchi Ni ya CHADEMA.
Nilipata kwenye ujumbe wa sugu ni kwamba TRA ina sheria mbaya sana za kodi,iko haja ya kufanyiwa reviewKudos wanajamvi.
Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi.
Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwaninTRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi Ni Uzalendo.
Asante Sana Sugu kwa kuonesha uzalendo,Sasa umekomaa kisiasa na unatambua kwamba Nchi Ni muhimu kuliko Vyama.[emoji106][emoji106]
Kudos bwana Sugu kwa huu ujumbe wa kizalendo[emoji116]