Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni upande wa kiroho na kiimani, ninakubaliana na wewe kabisa.Kama Yesu Kristo yu hai Ukristo hauwezi kufa.
Tangu kale haya mambo yalikuwepo, wapo watu waliojinasibisha na Kristo lakini walikuwa waongo, nia yao ni kumtweza Kristo na Ukristo. Hata katika nyakati za kupoa na kurudi nyuma Roho wa Mungu atahuisha Kanisa lake.
Vv
Hilo lipo tangu kale mkuu, kuna wakati Kanisa lilipoa na baadaye Kristo akaleta uamsho.Huo ni upande wa kiroho na kiimani, ninakubaliana na wewe kabisa.
Ila upande mwingine (hali halisi) trend inaonesha ukristo unapwaya na chanzo ni mambo kama haya...mfano ni nchi za ulaya.
Mdau mmoja hapo juu amesema vijana wanapata elimu kwa idadi kubwa tofauti na huko mwanzo.
Ukiwa na elimu hupokei jambo bila kuhoji na kujiridhisha.
Sasa wakikutana na mambo kama ya huyu jamaa inakuwa changamoto.
Ukristo alishindwa ku uua Herode ije kua hizi pimbi , bible ilisema wazi siku za mwisho nini kitatokea hakuna suprise apo kwa wasoma maandikoUkristo unafia mikononi mwa hawa manabii na mitume.
Vijana wadogo wakiona matendo kama haya hawakanyagi kanisani..na hapo ndipo utakuwa mwanzo wa mwisho wa kanisa.
Mchango bora kabisa kwenye bandiko hili.Ukristo alishindwa kuua Herode ije kua hizi pimbi , bible ilisema wazi siku za mwisho nini kitatokea hakuna suprise apo kwa wasoma mmandiko
Asante mkuu, watu hawasomi maandikoMchango bora kabisa kwenye bandiko hili.
Kila mtu anajifanya hatoenda haya bana nyinyi endeleeniNa kuna wapumbavu wataenda
Kuna watu watajitokeza hapa kuji komentisha wakijifanya eti hawataenda. Mimi nawachora tu
Upo sahihi.Msiwaseme wapakwa mafuta wa Bwana.
Biblia inasema msiwaguse masihi wangu wala msiwadhuru nabii zangu Zaburi ya 105: 15
[emoji38][emoji38][emoji38]
Mbona aliuawaUkristo alishindwa ku uua Herode ije kua hizi pimbi , bible ilisema wazi siku za mwisho nini kitatokea hakuna suprise apo kwa wasoma maandiko
Ukristo ulishindwa kuuawa kipindi cha herode...... hauwez kuuawa sababu za manabii fake ndio nilichomaanisha mkuu kuna mwamba nilikua nampa muongozoMbona aliuawa
Matendo Ya Mitume 12:20-23
Kifo Cha Herode
20 Herode alikuwa amekasirishwa sana na watu wa Tiro na Sidoni. Watu wa miji hiyo miwili wakaungana pamoja wakapeleka wajumbe wakaonane na Herode. Wajumbe hao wakapata kibali cha Blasto, mtumishi mwaminifu wa Mfalme Herode, ili waonane na mfalme kutaka amani kwa kuwa miji hiyo ilipata chakula chake kutoka katika milki ya mfalme. 21 Siku ya hao wajumbe kumwona mfalme ilipofika, Herode alivaa mavazi rasmi ya kifalme akaketi juu ya kiti chake cha enzi akaanza kutoa hotuba. 22 Alipokuwa akihutubu watu walimshangilia, wakapiga kelele wakisema, “Hii ni sauti ya Mungu! Sio sauti ya mwanadamu!” 23 Mara malaika wa Bwana akampiga Herode; akaliwa na funza akafa kwa sababu hakumpa Mungu utukufu.
kote sawa,hakuna tofauti,tena kwa mganga ataenda kwa tahadhari kubwa,lakini huko ataenda kichwakichwa..Mkeo akienda huko na kwa mganga wa kienyeji bora wapi
Baibo mkuu, hiyo ni zaidi ya Biblia.Huyu mwamba anatumia Biblia ya sayari gani...