Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #81
Mbinguni tutafika tukiwa tumechoka sanaKuna watu watajitokeza hapa ku komentisha wakijifanya eti hawataenda. Mimi nawachora tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinguni tutafika tukiwa tumechoka sanaKuna watu watajitokeza hapa ku komentisha wakijifanya eti hawataenda. Mimi nawachora tu
Mzungu msomi ni sawa Muafrika msomi? Jaribu kureseach kidogo.Ulaya wamesoma sana makanisani hawaendi kabisa wengi na makanisa mengi yanayzwa mingine kuwa misikiti na mengine kuwa maduka ya biashara au ma godown
Elimu zao zimewapeleka kwenye hadi ndoa za jinsia moja
Hahah HahahAaah mkuu tena wengiiiiiii especially sie wanawake na maendeleo mbona mapemaaa