Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hata hivo hauta ishi mileleNi jambo jema. Sukari ni hatari kwa afya.
Kwamba sukari haijapanda mkuu?Huu upuuzi huu
Hamia kilombero bei ni 1500 kwa kiloLeo nimenunua kilo 5 za sukari kila kilo ni 5600tsh hapa Mbezi mwisho.
Hii inaweza kuwa Dar je huko uliko wewe sukari inauzwa bei gani .
USSR
Bgm 4800Tunduma 2900/