Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimenunua sukari juzi Mr. Discount pale Mlimani City 3,500/-... tena wauziwa si zaidi ya kilo mbili!Wiki tunaelekea wiki sasa tangu Serikali itangaze Amri ya Bei Elekezi ya Sukari kwaajili ya kutumika Tanzania Bara, vipi huko wakuu? Imeshuka?
View attachment 2883093
Soma Amri ya Serikali hapa Serikali yatangaza Amri ya Bei Elekezi za Sukari Tanzania Bara
Ukienda kila siku vipi?Nimenunua sukari juzi Mr. Discount pale Mlimani City 3,500/-... tena wauziwa si zaidi ya kilo mbili!
Yani tumerudi maisha kama ya kukimbiza gari la Ugawaji duka la kaya?Nimenunua sukari juzi Mr. Discount pale Mlimani City 3,500/-... tena wauziwa si zaidi ya kilo mbili!
Thubutuuu.Mateso kwa wananchi yataigharimu CCM.