Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Sukari imepanda Bei. Hapo ulipo bei ipoje?

Huku supermarket nilipita juzi haipo kabisa, naona siri-kali imewekwa mfukoni na wafanyabishara.
 
Nimenunua sukari juzi Mr. Discount pale Mlimani City 3,500/-... tena wauziwa si zaidi ya kilo mbili!
Yani tumerudi maisha kama ya kukimbiza gari la Ugawaji duka la kaya?

Maisha ya dhiki sana yale.

Ukinunua sukari, unalazimishwa na unga wa muhogo. Kwa foleni.

Unaandikiwa kwenye kidaftari cha kaya.

Tanzania ya 1980-1984 hiyo, kipindi cha Juliasi Kaizari.

nyerere_jc.jpg
 
Back
Top Bottom