The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 7,574
- 10,598
- Thread starter
- #21
Bor hata nyie inapatikana ila bei iko juu, huku hamna kabsaNilipo ipo ila bei ni ile ile 4000 - 4500 🤦‍♀️🤦‍♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bor hata nyie inapatikana ila bei iko juu, huku hamna kabsaNilipo ipo ila bei ni ile ile 4000 - 4500 🤦‍♀️🤦‍♀️
Oooh!!!Mi nipo wilaya ya Hai. Baada ya mkuu wa wilaya kufuatilia suala la bei,wenye maduka wakaamua wote kuondoa sukari madukani mwao. Kisa wanadai walinunua bei ya juu hawawezi kuuza kwa bei ya chini.
Tatizo hapa ni sisi watanzania. Hatuna jema. Sukari ilipokuwa bei juu, ikawa inapatikana kwa wingi,tulilia kwamba hatutamudu. Tuakaitaka serekali iingilie kati. Serekali imeingilia kati tunaona wafanyabiashara wanaonewa.
Huku ukienda dukani unaambiwa sukari hakuna. Ila kama mnafahamiana na una 3500 unapata yakutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sukari ipo ila wauzaji hawauzi wanaificha wanadai serikaliimetoa bei elekezi wakati wanakoinunua wao wanainunua ghaliWakuu Salaam;
Nimezunguka madukani kutafuta sukari ili nipate chai angalau nichangamke kipindi hiki cha mvua maana baridi ipo kweli huku duniani niliko, sasa kila duka naloingia naambiwa sukari hamna!
Nimejaribu kwenda hadi maeneo ya stendi lakini bado sukari najibiwa hamna.
Nimeamua ninywe chai na malimao tu maana yenyewe yataifanya hiyo chai hata iwe na ladha. Malimao yenyewe saivi kuyapata ni shughuli haswa mana watu wananunua wakachanganye kwenye mvukizo ili wajifukize.
Nimejaribu kuwauliza watu baadhi wanadai sukari hakuna kila sehemu na watu wameficha stock ila hawana uhakika kama kweli wameficha. Sasa tatizo ni nini wakati juzi limetoka tamko lenye bei elekezi ya sukari?
Kuna mmoja kanidokeza kua, wale waliokua na sukari kabla tamko la bei elekezi halijatoka, waliendelea kuuza kwa bei ile ile ya juu yani 3500. Sasa wakikutwa wanauza bei hiyo au mteja akisema kauziwa kwa bei hiyo, muuzaji anakamatwa.
Kwanini ifikie hali hii sukari iadimike ghafla? Au kweli sukari hamna?
Au wafanya biashara wanaficha sukari?
Kama vipi serikali ije na tathmini mpya juu ya hili swala.
Huko ulipo vipi sukari inapatikana kama kawaida au nako hamna kama maeneo ya huku?
Na vipi kuhusu bei ya sukari huko ulipo? Au unatumia malimao kama mimi?
Corona no production hasa huko nje tunakotegemeaWakuu Salaam;

Hayo maneno ya wanasiasa ndugu au umeshau kipindi kile walipopiga marufuku sukari toka nje ikapanda toka 1800 mpaka kufikia 3000 na zaidi wakasema wameweka bei elekezi na kuanza wakamata wafanya biashara sukari toka kipindi hicho haikuwahi kurudi 1800 nao wakalipotezea wakaanza kudai walipoingia madarakani sukari ilikuwa 5000 wameishusha mpaka 2400Na wewe bado sijui upoje; juzi tumeambiwa sukari ipo ya kutosha nchini lakini saiv hamna madukani, hiyo bei elekezi inaleta uwiano wa bei maeneo yote bila ukandamizaji. Mnatakiwa mkubali bei elekez na muache kuficha sukar
Mkuu kwa tanzania viwanda uwa havizalishi sukari mwaka mzima ila kipindi cha kiangazi maana nicho kipindi ambapo mashamba ya miwa yanaweza pigwa moto na kuvuna miwa, hivyo sukari inayokuwepo uwa inakuwa ni stockCorona no production hasa huko nje tunakotegemea
Probably but hata ikiwepo haiwezi kutosheleza maana production ya viwanda vyetu ni ndogo mnoMkuu kwa tanzania viwanda uwa havizalishi sukari mwaka mzima ila kipindi cha kiangazi maana nicho kipindi ambapo mashamba ya miwa yanaweza pigwa moto na kuvuna miwa, hivyo sukari inayokuwepo uwa inakuwa ni stock
3Ă—10^8Saivi ukinywa chai na sukari unaonekana ni illuminati,kasi ya maisha inaweza kuwa na speed kuliko speed of light.....leo hii sukari imekuwa kama dhaabu inavyotafutwa,huwezi amini nilitafuta sukari juzi mpk nasema mzee deportivo la curuna asije nipata bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haitoshelezi mahitaji ya ndani tunapaswa kuruhusu sukari kutoka Uganda, Zambia na Malawi ndiyo bei ya sukari itakaa sawa. Huu uhaba unaweza usababishe magendo mengi sanaHivi sukari ya viwanda vya ndani iko wapi ?
Na ndicho kinachotakiwa kufanyika..mizigo iingie ya sukari. Serikali isichukulie hili jambo kisiasa wakati ni ishu siriazi na wanachi tunapata shidaHaitoshelezi mahitaji ya ndani tunapaswa kuruhusu sukari kutoka Uganda, Zambia na Malawi ndiyo bei ya sukari itakaa sawa. Huu uhaba unaweza usababishe magendo mengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asali ni ghaliSugar is not good for you.
Adults should never be crying over sugar