Duplicate_90
JF-Expert Member
- Mar 29, 2020
- 272
- 308
Nchi ya mazingaumbwe!Hii nchi kila kitu ni cha kubahatisha.
Kwa nini kila mwaka hua inafikia sukari hakuna? Yaani hua wahusika wako wapi hadi inatokea sukari inakosa kabisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ya mazingaumbwe!Hii nchi kila kitu ni cha kubahatisha.
Kwa nini kila mwaka hua inafikia sukari hakuna? Yaani hua wahusika wako wapi hadi inatokea sukari inakosa kabisa?
Bei elekezi ni sawa na corona.Wasalaam,
Nipo maeneo ya pwani muda huu, mlandizi, bado natafuta sukari kila duka napita wanasema hawana sukari.
Najiuliza tu kulikoni? Huko kwenu vipi inapatikana nije?
Tuendelee kuchapa kazi huku tukichukua tahadhali, tuepukane na covid-19.
Mungu ibariki Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
3400 sio bei elekezi.. wakikamatwa laki 5 washike na meno!Muwe mnakunywa supu sukari sio lazima matumizi mengine mbadala uwe chumvi kwa nilipo sukari IPO tele bei ni 3400/kg halafu ni kawaida kila mwaka viwanda vinasitisha uzalishaji kwa mda kufanya maintainance ya mitambo muwe mnasoma alama za nyakati sio kulialia
Watajua wenyewe as long Mimi napata sina shida na mtu kilo kwangu inakaa mda sana3400 sio bei elekezi.. wakikamatwa laki 5 washike na meno!
Bei ya sh 3800-4000 ya sukar imenishinda.
Na hii ni dosari katika sera za serikaliSukari imekua balaa sasaiv sukari hapa Dar bei ni 3500 ukienda Dukani wanasema wao hawawezi kuuza chini kwasababu ananunua bei ya juu...
Kiuchumi inafafanulikaje ulichoandikaTatzo ni demand na supply tu ndo inasumbua ishu ya sukari
Kiuchumi n kwamba bei ya bizaa sokoni asilimia kubwa inaamuliwa na wingi wa hiyo bidhaa na mahitaji. Tatzo sukari inayozalishwa nchini haitoshelezi mahitaji ya watanzania na pia huenda sukari inayoagizwa kutoka nje pia huenda n kidogo, hali hii ni lazima hii bizaa itakuwa juu kibei coz wanao ihitaji ni wengi. Pia hapa napo ndio wafanyabiashara wengi wanapopigia faida coz anajua sukari ipo kidogo nchini piga ua lazma atauza akiamua kuuza kwa bei ya juu. Solution serekali lazma iagize sukari kwa kiasi kinachotosha kujazia kiasi kilichopelea km mkakati wa haraka lkn la pili kuwepo na mkakati wa muda mrefu kuongeza production ku meet demand ikiwa possible tuuze nje pia. Unajua huwa najiuliza tatzo n nn katika uzakishaji wa sukari.. je n uzakishaji mdogo wa miwa?. Je ni gharama kubwa za uzalishaji hususani katika stage ya production baada ya uvunaji wa miwa au n nn.Kiuchumi inafafanulikaje ulichoandika
Ahsante nimekuelewa.Kiuchumi n kwamba bei ya bizaa sokoni asilimia kubwa inaamuliwa na wingi wa hiyo bidhaa na mahitaji. Tatzo sukari inayozalishwa nchini haitoshelezi mahitaji ya watanzania na pia huenda sukari inayoagizwa kutoka nje pia huenda n kidogo, hali hii ni lazima hii bizaa itakuwa juu kibei coz wanao ihitaji ni wengi. Pia hapa napo ndio wafanyabiashara wengi wanapopigia faida coz anajua sukari ipo kidogo nchini piga ua lazma atauza akiamua kuuza kwa bei ya juu. Solution serekali lazma iagize sukari kwa kiasi kinachotosha kujazia kiasi kilichopelea km mkakati wa haraka lkn la pili kuwepo na mkakati wa muda mrefu kuongeza production ku meet demand ikiwa possible tuuze nje pia. Unajua huwa najiuliza tatzo n nn katika uzakishaji wa sukari.. je n uzakishaji mdogo wa miwa?. Je ni gharama kubwa za uzalishaji hususani katika stage ya production baada ya uvunaji wa miwa au n nn.
Saivi ukinywa chai na sukari unaonekana ni illuminati,kasi ya maisha inaweza kuwa na speed kuliko speed of light.....leo hii sukari imekuwa kama dhaabu inavyotafutwa,huwezi amini nilitafuta sukari juzi mpk nasema mzee deportivo la curuna asije nipata bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sugar is not good for you.
Adults should never be crying over sugar
Hiyo itakuwa super marketnimenunua sukar 2800 per kg
Yeah, hata mie last week nlinunua kwa ths 2,600/ kwa kilo moja kwenye supermarket moja jijjni DarHiyo itakuwa super market
huku uswazi 3000 wife kauziwa leoYeah, hata mie last week nlinunua kwa ths 2,600/ kwa kilo moja kwenye supermarket moja jijjni Dar