Sukuma Gang is Real: Waanza kumtisha Rais Samia, wamtumia Msukuma kudai mkoa wa Chato kinguvu

Vipi kuhusu mikoa mingine kama Morogoro, Tabora, Tanga etc?
 
Na kile kiwanja cha ndege cha kimataifa alichjenga mwendazake kule Chato ambako sasa wanatua popo nashauri uwanja ule wappewe wakulima wa kanda ya ziwa kwa ajili ya kuanikia mazao yao yasioze, hasa kipindi hiki cha mvua.
Utajinyonga kwa wivu kenge wewe
 
Watajeni hao Sukuma Gang basi. Kundi gani hilo au Genge gani hilo linalojulikana na halijulikani?
PM ni Msukuma, yumo? anawajua? Viongozi wake? Ni mwanasheria na mwandishi wa Habari atujuze basi.... NN, na wengi tu humu ambao wamekiri kuwa wao ni Wasukuma...Je ndio wao?
Maneno ya kijumla jumla ndio nayo kataa, siyakubali tu hivi hivi!
Hayo kuwa Chato ilipendelewa yamo katika nyanja za Siasa Nchi nyingi sana; nitumie lugha hii; Upokonyaji wa Rasilimali zilizotengwa kwa dhumuni moja na kupelekwa kutumika kwa jambo lingine ni la kawaida katika Serikali nyingi Duniani.

Denmark majuzi wameondoa Fedha za Sherehe na kuzipeleka kufanyia shughuli zingine, kwingine, yaani wamejiMagulify... Fedha za Uviko nyingine zimenunua Simenti??? Wenye hela zao wamemtisha Raisi?

Tuwekeeni sisi kwa kajamba nani hayo majina ya Wakuu wa "Sukuma gang" bwasheee!
 
Sukuma Gang ni itikadi ,iko moyoni hawana ofisi wala viongozi,ni kikundi chawatu wanaoamini mwendazake hakustahili kufa mpaka amalize muda wake wa miaka kumi,na wanaona mama ni laini sana kzongoza nchi compared to him,wanaona wamepokwa kijana wao kwa hila na kumpa nchi mama
 
Vipi kuhusu mikoa mingine kama Morogoro, Tabora, Tanga etc?
Tanga hakuna umuhimu labda hiyo mingine,na yenyewe sio lazima sana,tuache hii tabia tupeleke huduma muhimu wilayani
 
Kwani nani aliwaambia Watanzania wana jadi kama hizo? Itikadi au shule za Kata just to name a few.... hayamo hata katika lugha za kawaida mitaani....

Haya ya kuwa Mama ni 'Laini' ndio mnayapika nyie, yaani genge lenu ndilo tabia dume? Kumshinda Robert Heriel?

. Yaani
Mnadai wana tabia dume, lakini siwaoni mki mkemea Robert Heriel kwa hilo. A true Misogynist, A bigoted beliver. au Kwasababu ni Mzungu?

Hapana, Jamani Tunapenda Amani....Msimtishe Dada wa watu akatoka nduki, msimfanye aje awavae. Msimyumbishe.
 

Mbona Morogoro wapo kimya na Tabora ambayo ndio mikoa mikubwa kuliko yote Tanzania. Yani Wilaya iwe mkoa kwa Nini. Waliigawa Mwanza wakatoa mkoa wa Geita, Leo mnataka Tena kuigawa Geita kuanzisha mkoa wa Chato?
 

Kweli mambo ya msingi Ni haki.
 
Tanzania haiwez kuendelea mbele tukiwa na watoto wa kiume wenye element za kidada kama wewe kama hko kanda ya ziwa kweli mwambie hatumpendi kweli kweli na yeye anajua maana kila mikutano ya kanda ziwa anaambulia watt wa shule na kwakulazimishwa na walimu hivyo hatumpendi kwa sababu zifuatazo:
1. Kwa nini alimtoa kalemani uwaziri akampa makamba bila sabab za msingi na wakaanza kukata umeme, kuunganishiwa umeme wakapandisha gharama toka 27000/= mpka laki 3 tena kwa kumdhihaki magufuli.
2. Kwa nini miradi ya mwanza imesimama mfano meli imepaki pale mwanza south port bila majibu ya maana na yye ana zurura t hko na unataka tumpende kanda ya ziwa kwa lipi na pia uwanja wa ndege, daraja la busisi wakandarasi waktaka wanaenda kazini wakichoka hawaendi bila kujali time of contract alfu unataka kanda ya ziwa tumpende kwa lipi???
3. Anajua kabisa watz hatuwezi kupambana na wakenya kiuchumi ameachiwa wakenya wanalangua mazao ya wakulima bado yakiwa shambani hali inayopelekea vyakula kupanda bei leo hii kilo ya maharage ni 3700 na huu ndo msimu lakini maharage hayaingii kwenye mzunguko alfu unataka tumpende kanda ya ziwa.
4. Juzi habari za kuanza uuzwaji wa wanyapori nje ya nchi zimeenza tena kusikika yye hata kukemea hapna .
5. Uzembe, kujinufaisha, kuonea watu ovyo ovyo tu vimeanza tena kuripotiwa alfu unataka kanda iliyo na wasomi wa viwango vya juu tumpende kwa lipi???
6. Kuna miradi iliyoanzishwa na mtukufu magufuli anafanya makusudi kutaka kupotosha umma iliionekane kuwa ilikuwa haiwezekani kuitekeleza kwa mfano reli, bwawa la umeme; reli ilikuwa inatakiwa iwe ya umeme yeye anatuletea ya dizeli , bwawa kila kukicha ni ngonjera t yeye anasema lake, waziri lake na kamati ya bunge wanajua lao alfu unataka tumpende mtu ambae ameshindwa hata kuorganize serikali ????
Mmbo meng t kwa hyo kanda ya ziwa waje vizuri wasije kutupigia kelele wakina mjema huku watu wamekula vitabu ngonjera waende huko kwa watu wa vigodoro
 
Kama Chato ikiwa mkoa utapungukiwa nini?
 
Sometimes leteni hoja zenye mashiko..
 
Hii chato hata kuwa wilaya mwendazake alilazimisha
 
Mjinga tu sasa umeandika nini kama sio kuendeleza anti magufuli sentiments kitu mumeshindwa.
Sisi wafuasi wa magufulism tupo nchi nzima na ccm tumejaa. Kama mnatuita sukumagang hiyo ni hiari yenu.
 
Kwa hiyo wamekosa mtu mwenye hekima, upeo, weledi na msomi hadi wamtume huyo mtu? 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…