Sukuma gang sio hate speech, bali wapinga ufisadi na watetezi wa rasilimali za taifa. Mbona wengi wao sio wasukuma.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.

Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.

Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.

Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.

Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma.

Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma anayepinga ufisadi.

Philip Mangula ni Sukuma gang lakini sio msukuma.

Inasikitisha sana.

Leo hii ukipinga ufisadi unakuwa sukuma gang. Hii sio sawa..
 
Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.

Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.

Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.

Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.

Bashiru Ally Kakurwa ni Ssukuma gang na sio mzukuma.

Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma anayepinga ufisadi.

Philip Mangula ni Sukuma gan lakini sio msukuma.

Inasikitisha sana.

Leo hii ukipinga ufisadi ufisadi unakuwa sukuma gang. Hii sio sawa..
Nani hapo anapinga ufisadi kwa akili yako?
 
Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.

Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.

Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.

Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.

Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma.

Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma anayepinga ufisadi.

Philip Mangula ni Sukuma gan lakini sio msukuma.

Inasikitisha sana.

Leo hii ukipinga ufisadi ufisadi unakuwa sukuma gang. Hii sio sawa..
Kama mungu wenu jiwe alikuwa fisadi nyinyi vidagaa mnapinga ufisadi gani!!
 
Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.

Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.

Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.

Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.

Bashiru Ally Kakurwa ni Ssukuma gang na sio mzukuma.

Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma anayepinga ufisadi.

Philip Mangula ni Sukuma gan lakini sio msukuma.

Inasikitisha sana.

Leo hii ukipinga ufisadi ufisadi unakuwa sukuma gang. Hii sio sawa..
Hakuna hiki kitu kinachoitwa Sukuma Gang, huu ulikuwa ni uzushi tuu wa yule mzushi wa Twitter dhidi ya chuki zake kwa Magufuli, but in reality, Sukuma Gang doesn't exist anywhere!.
P
 
Sukuma gang ni brand ya wasiokubaliana na utawala wa Mama ambao wapo ndani ya CCM bila ya kujalisha kabila wala dini

Wana mtandao ni kundi linalounga mkono Utawala wa Mama ambao umebeba watu wa kila aina na kila eneo

pamoja na tofauti zote watajiunga tena 2025 kumsaidia Mama kama ilivyokuwa 2020 wote walipomsaidia JPM
 
Unavita bangi?
Hata Wana kigenge wenzako kina KABUDi,Mayala,Likuvi mnawaponza kwa fikra finyu Kwa mtu anaekupinga kidogo tu,mnaanza singizia kesi za uhujumu Uchumi,ugaidi uvutaji bangi ,,Mwisho mnaniweka kwenye kiroba.
 
Mbona unaleta habari za mitaani hapa?
 
Sukumagang ni kikundi cha watu wasio kubali mabadiliko yoyote dhidi ya siasa za Magufuli
Kama ni kupinga ufisadi wasome ripoti ya CAG watuonyeshe wapi walipinga ufisadi wote uliofanywa wakati wa Magufuli, tukianzia Mayanga Construction na ile infamous 1.5 trillion.
 
Wewe unasikiliza uzushi wa mitaani. CAG ropoti ni hoja tu. Kama kuna madudu ya kweli subiri PAC na LAAC watatoa majibu.
 
Back
Top Bottom