Sukuma gang sio hate speech, bali wapinga ufisadi na watetezi wa rasilimali za taifa. Mbona wengi wao sio wasukuma.

Sukuma gang sio hate speech, bali wapinga ufisadi na watetezi wa rasilimali za taifa. Mbona wengi wao sio wasukuma.

Kama wewe hukupotezwa kwenye hivyo viroba waliofanya kazi hiyo hawakuifanya vizuri
Na Bado safari hii mafisi wenzenu Lumumba na Chamwino watawashikisha uKuta ,kufa hamtakufa ila chamoto kitawaingia tu,maana kutoka hamtaki.
 
Sukuma gang, Team Msoga ni labels tunazotumia. Naona bado wanasema mama anakwenda kwa remote lakini tuvute subira tunaweza kushangaa. Nae mta muundia gang cha msingi ni legach gani anataka na katika safari ya kuitafuta hiyo legacy atakua na nani. CCM au watanzania ukijumlisha wapinzan ili kupata mshikamano.
 
Back
Top Bottom