Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Nani hapo anapinga ufisadi kwa akili yako?Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.
Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.
Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.
Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.
Bashiru Ally Kakurwa ni Ssukuma gang na sio mzukuma.
Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma anayepinga ufisadi.
Philip Mangula ni Sukuma gan lakini sio msukuma.
Inasikitisha sana.
Leo hii ukipinga ufisadi ufisadi unakuwa sukuma gang. Hii sio sawa..
Kama mungu wenu jiwe alikuwa fisadi nyinyi vidagaa mnapinga ufisadi gani!!Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.
Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.
Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.
Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.
Bashiru Ally Kakurwa ni Sukuma gang na sio mzukuma.
Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma anayepinga ufisadi.
Philip Mangula ni Sukuma gan lakini sio msukuma.
Inasikitisha sana.
Leo hii ukipinga ufisadi ufisadi unakuwa sukuma gang. Hii sio sawa..
Hakuna hiki kitu kinachoitwa Sukuma Gang, huu ulikuwa ni uzushi tuu wa yule mzushi wa Twitter dhidi ya chuki zake kwa Magufuli, but in reality, Sukuma Gang doesn't exist anywhere!.Mzee Lukuvi sio msukuma ila ni sukuma gang.
Paramaganda Kabudi sio msukuma bali ni Sukuma gang.
Job Ndugai ni Sukuma gang lakini sio msukuma.
Luhaga mpina ni Msukuma lakini mpinga ufisadi.
Bashiru Ally Kakurwa ni Ssukuma gang na sio mzukuma.
Pascal Mayalla ni sukuma gang ni msukuma anayepinga ufisadi.
Philip Mangula ni Sukuma gan lakini sio msukuma.
Inasikitisha sana.
Leo hii ukipinga ufisadi ufisadi unakuwa sukuma gang. Hii sio sawa..
Hujitambui na hujui loloteKama mungu wenu jiwe alikuwa fisadi nyinyi vidagaa mnapinga ufisadi gani!!
Hujui kusoma?Nani hapo anapinga ufisadi kwa akili yako?
Najua jiwe alikuwa katiliHujitambui na hujui lolote
Unavuta bangi?Mmekwisha na mtapotelea hapohapo LUMUMBA kwenye makaratasi ya kurà za maoni,nyinyi SUKUMA GANG mlipotezea watu kwenye viroba mto ruvu na coco beach.
Kama wewe hukupotezwa kwenye hivyo viroba waliofanya kazi hiyo hawakuifanya vizuriMmekwisha na mtapotelea hapohapo LUMUMBA kwenye makaratasi ya kurà za maoni,nyinyi SUKUMA GANG mlipotezea watu kwenye viroba mto ruvu na coco beach.
AlisahaulikaOngeza polepole
Umempa jibu sahihi.Kama wewe hukupotezwa kwenye hivyo viroba waliofanya kazi hiyo hawakuifanya vizuri
Wanapinga ufisadiSukuma gang ni brand ya wasiokubaliana na utawala wa Mama ambao wapo ndani ya CCM bila ya kujalisha kabila wala dini
Hata Wana kigenge wenzako kina KABUDi,Mayala,Likuvi mnawaponza kwa fikra finyu Kwa mtu anaekupinga kidogo tu,mnaanza singizia kesi za uhujumu Uchumi,ugaidi uvutaji bangi ,,Mwisho mnaniweka kwenye kiroba.Unavita bangi?
Mbona unaleta habari za mitaani hapa?Hata Wana kigenge wenzako kina KABUDi,Mayala,Likuvi mnawaponza kwa fikra finyu Kwa mtu anaekupinga kidogo tu,mnaanza singizia kesi za uhujumu Uchumi,ugaidi uvutaji bangi ,,Mwisho mnaniweka kwenye kiroba.
Wewe unasikiliza uzushi wa mitaani. CAG ropoti ni hoja tu. Kama kuna madudu ya kweli subiri PAC na LAAC watatoa majibu.Sukumagang ni kikundi cha watu wasio kubali mabadiliko yoyote dhidi ya siasa za Magufuli
Kama ni kupinga ufisadi wasome ripoti ya CAG watuonyeshe wapi walipinga ufisadi wote uliofanywa wakati wa Magufuli, tukianzia Mayanga Construction na ile infamous 1.5 trillion.