Hakuna hiki kitu kinachoitwa Sukuma Gang, huu ulikuwa ni uzushi tuu wa yule mzushi wa Twitter dhidi ya chuki zake kwa Magufuli, but in reality, Sukuma Gang doesn't exist anywhere!.
P
Sukuma gang, Team Msoga ni labels tunazotumia. Naona bado wanasema mama anakwenda kwa remote lakini tuvute subira tunaweza kushangaa. Nae mta muundia gang cha msingi ni legach gani anataka na katika safari ya kuitafuta hiyo legacy atakua na nani. CCM au watanzania ukijumlisha wapinzan ili kupata mshikamano.