Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Sijui kama kuna Mtanzania mwenye akili zake anayeamini ulaghai huo. Hata maana ya Ujamaa ilikuwa ni siri ya Nyerere mwenyewe. Hakuna Mtanzania anayeweza kuielezea kwa ufasaha.Katiba Bado inatambua uchumi wa ujamaa na kujitegemea.
Haya mapumbavu yapo insane, ni yakuyaonea huruma tu.Taifa letu ni la ujamaa na kujitegemea......
Falsafa ya taifa letu ilisimikwa na hayati baba wa taifa na makomredi wenzake......
Hakuna cha falsafa ya Magufuli...
Hakuna cha falsafa ya Kikwete ,Mwinyi wala Mkapa.....
Tuache kuwa WAPUMBAVU.....
Nchi haikuanza kwa Magufuli wala haitoishia kwa mh.Chifu Hanganya......
#SiempreJMT[emoji120]
Unakeneaje kitu ambacho ni abstract? Ebu acheni mizaha lwenye serious issues za nchi. Hayo nakundi imaginary mnayo ninyi wite wabinafsi, wengine kundi letu ni Tanzania.Umeshaawahi hata siku mmoja kumsikia mama akikemea haya mambo .kwa upande mwingine inaonyesha mama anabariki haya mambo
Wewe sio wengineUnakeneaje kitu ambacho ni abstract? Ebu acheni mizaha lwenye serious issues za nchi. Hayo nakundi imaginary mnayo ninyi wite wabinafsi, wengine kundi letu ni Tanzania.
Utakuwa juha kutaka ushahidi wa kuteuliwa kwa Sabaya na Makonda kumbe walijiteuwa wenyewe?Mna ushahidi ?
Ajili ndogo hii!Mungu anasema;maisha ya mwanadamu ni miaka 70 ikizidi ni 80(zaburi 90:10).Membe kafa akiwa na miaka 70.Huoni kuwa amemaliza muda wake?Ndiyo umri ambao Mungu amesema.Lakini Magu kafa na miaka 61.Hajafika ile miaka aliyoisema Mungu.Maana yake Mungu amekatisha uhai wake kabla ya miaka aliyoisema.Kwa hiyo kusema Mungu kakatisha maisha ya Membe ni kujitoa ufahamu tuKwanza hiyo kitu haipo. Kilichopo ni sera. Sisi tunataka uwajibikaji na kukomesha wizi na uzalendo. Hivyo mliokuwa mnawatukania na kumdhihaki aliyewafia mikononi mwao ndiyo hao hao watawalambisha udogo.
Uzuri mfumo wao jamaa ni ukuta kwa ukuta huwezi jua nani ni nani na waliwaachia mkajiachia hahahaha kila mtu akajulikana na uhusika wake hahahahaha poleni sana.
Kuweni wazalendo ombeni msamaha ingawa mmechelewa kinawahusu kifo tu ili nchi iendelee. Ni kama Yesu aliposulubiwa wanafunzi wake waliteswa na wengine kuuliwa ila mwisho wa siku watesi wote walikufa na injiri ya Yesu ikahubiriwa mataifa yote.
Ndiyo ninyi wezi na wauza madawa mtakufa wote na injili ya uzalendo na uwajibikaji itahubiriwa Tanzania yote na nchi yetu itakuwa tajiri sana na kila mtu atafurahia maisha.
Bosi unakosea kusema hivyo. Mambo hayo ya kukatisha uhai nyie kambi ya JK ndiyo mmeyaletaAjili ndogo hii!Mungu anasema;maisha ya mwanadamu ni miaka 70 ikizidi ni 80(zaburi 90:10).Membe kafa akiwa na miaka 70.Huoni kuwa amemaliza muda wake?Ndiyo umri ambao Mungu amesema.Lakini Magu kafa na miaka 61.Hajafika ile miaka aliyoisema Mungu.Maana yake Mungu amekatisha uhai wake kabla ya miaka aliyoisema.Kwa hiyo kusema Mungu kakatisha maisha ya Membe ni kujitoa ufahamu tu
Falsafa hii itaishi kwenye vizazi vyako umilele wote siyo kwa wenye akili timamuHahahahahaha Error 404 ila ni ukweli bosi maana falsafa ya Dkt Magufuli itaishi mimi na wewe tutazeeka na kufa ila vizazi vyetu vitakuja kuihubiri na hatimaye kuiishi. Najua sasa hivi sera ni kukopa nje na kuachia mianya ya ukusanyaji mapato ya ndani na wizi, madawa etc.
Noway bosi. Hii dhana ya uadilifu, uwajibikaji, na uzalendo ni wimbo wa kila taifa. Hivyo hata wewe najua kabisa moyoni mwako unafahamu ukweli ila unazuga kwa kujidanganya na chuki binafsi. Pole sana ila hakuna namna utazuia watanzania kuwa wazalendo. Ni kama walivyojaribu kuzuia uislam au u Kristo. Wewe na wenzako lazima mfe na falsafa ya Dkt Magufuli will live forever!Falsafa hii itaishi kwenye vizazi vyako umilele wote siyo kwa wenye akili timamu
Serikali iweke kwenye orodha ya vikundi vya waasiHabari JF,
Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli.
Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo. Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa.
Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama. Kwa kifupi ni Dubwana kubwa. Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu.
Hivyo basi kama ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK, kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa.
Sukuma gang sio kabila boss, acha kuwachanganya wasukuma na hilo kundi la wazalendo uchwara.Sukuma gang ni lidude likubwa sana watawala wasipoangalia litakuja kuwameza one day.
Wanazani sukuma gang ni wasukuma tu la hasha, bali ni watu woote wanaoamini katika sera za Jemedali Magufuli
๐๐ Eti falsafa ya Dkt Magufuli, kipindi cha dhalimu ilikuwa ngumu sana kutenganisha uzalendo na ujinga.Noway bosi. Hii dhana ya uadilifu, uwajibikaji, na uzalendo ni wimbo wa kila taifa. Hivyo hata wewe najua kabisa moyoni mwako unafahamu ukweli ila unazuga kwa kujidanganya na chuki binafsi. Pole sana ila hakuna namna utazuia watanzania kuwa wazalendo. Ni kama walivyojaribu kuzuia uislam au u Kristo. Wewe na wenzako lazima mfe na falsafa ya Dkt Magufuli will live forever!
Wewe ni punguani nadhani nifunge mjadala๐๐ Eti falsafa ya Dkt Magufuli, kipindi cha dhalimu ilikuwa ngumu sana kutenganisha uzalendo na ujinga.
Uko sahihi sana๐๐ Eti falsafa ya Dkt Magufuli, kipindi cha dhalimu ilikuwa ngumu sana kutenganisha uzalendo na ujinga.
Kama alivyokufa yule muuaji shetani Magufuli aliyepora pesa kwenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake, akapora trillion 1.5, jizi falsafa yake itadumu kwa wajinga akina Musiba, Sabaya na Makonda na wajinga wenzakeNoway bosi. Hii dhana ya uadilifu, uwajibikaji, na uzalendo ni wimbo wa kila taifa. Hivyo hata wewe najua kabisa moyoni mwako unafahamu ukweli ila unazuga kwa kujidanganya na chuki binafsi. Pole sana ila hakuna namna utazuia watanzania kuwa wazalendo. Ni kama walivyojaribu kuzuia uislam au u Kristo. Wewe na wenzako lazima mfe na falsafa ya Dkt Magufuli will live forever!
Utakuwa na mental problem mkuu. Mnanilazimisha nimseme vibaya comrade Mh. Membe, hapana. Dkt Magufuli alikuwa mzalendo namba moja. Choko ka wewe wala hutusumbui kwa sababu ni mjinga fulani usiyekuwa na mbele wala nyuma kwa sababu youโre biased and misinformed. So kaa na huo ujinga wako wa kushangilia vifo vya viongozi. Ukome kabisa kujibizana na mimi choko mkubwa na uliyejaza mavi kichwani maana kama huwezi heshimu hata mtu aliyekufa wewe ni choko na punga.Kama alivyokufa yule muuaji shetani Magufuli aliyepora pesa kwenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake, akapora trillion 1.5, jizi falsafa yake itadumu kwa wajinga akina Musiba, Sabaya na Makonda na wajinga wenzake
RelaxUtakuwa na mental problem mkuu. Mnanilazimisha nimseme vibaya comrade Mh. Membe, hapana. Dkt Magufuli alikuwa mzalendo namba moja. Choko ka wewe wala hutusumbui kwa sababu ni mjinga fulani usiyekuwa na mbele wala nyuma kwa sababu youโre biased and misinformed. So kaa na huo ujinga wako wa kushangilia vifo vya viongozi. Ukome kabisa kujibizana na mimi choko mkubwa na uliyejaza mavi kichwani maana kama huwezi heshimu hata mtu aliyekufa wewe ni choko na punga.
#watuwazuriwamefiwa# #mwigulu kitichamoto#Haya mapumbavu yapo insane, ni yakuyaonea huruma tu.
Hakunaga Founder zaidi ya mmoja, kuna wajinga wanajidanganya marehemu wao aingie levels za founders, ni upuuzi mtupu.