Sukuma Gang sio watu wa kupuuzwa, itafutwe namna ya kuifuta hii itikadi ili kuleta Umoja wa Kitaifa

Sukuma Gang sio watu wa kupuuzwa, itafutwe namna ya kuifuta hii itikadi ili kuleta Umoja wa Kitaifa

Taifa letu ni la ujamaa na kujitegemea......

Falsafa ya taifa letu ilisimikwa na hayati baba wa taifa na makomredi wenzake......

Hakuna cha falsafa ya Magufuli...
Hakuna cha falsafa ya Kikwete ,Mwinyi wala Mkapa.....

Tuache kuwa WAPUMBAVU.....

Nchi haikuanza kwa Magufuli wala haitoishia kwa mh.Chifu Hanganya......

#SiempreJMT[emoji120]
 
Katiba Bado inatambua uchumi wa ujamaa na kujitegemea.
Sijui kama kuna Mtanzania mwenye akili zake anayeamini ulaghai huo. Hata maana ya Ujamaa ilikuwa ni siri ya Nyerere mwenyewe. Hakuna Mtanzania anayeweza kuielezea kwa ufasaha.

Kujitegemea? After >60 years of independence, misaada na mikopo nafuu ikisimamishwa mwaka mmoja tu nchi hii inaanguka chali! Nchi zilizoazimia kwa dhati kujitegemea tangu 1961 ziko dunia nyingine sio ya LDCs.
 
Taifa letu ni la ujamaa na kujitegemea......

Falsafa ya taifa letu ilisimikwa na hayati baba wa taifa na makomredi wenzake......

Hakuna cha falsafa ya Magufuli...
Hakuna cha falsafa ya Kikwete ,Mwinyi wala Mkapa.....

Tuache kuwa WAPUMBAVU.....

Nchi haikuanza kwa Magufuli wala haitoishia kwa mh.Chifu Hanganya......

#SiempreJMT[emoji120]
Haya mapumbavu yapo insane, ni yakuyaonea huruma tu.

Hakunaga Founder zaidi ya mmoja, kuna wajinga wanajidanganya marehemu wao aingie levels za founders, ni upuuzi mtupu.
 
Umeshaawahi hata siku mmoja kumsikia mama akikemea haya mambo .kwa upande mwingine inaonyesha mama anabariki haya mambo
Unakeneaje kitu ambacho ni abstract? Ebu acheni mizaha lwenye serious issues za nchi. Hayo nakundi imaginary mnayo ninyi wite wabinafsi, wengine kundi letu ni Tanzania.
 
Unakeneaje kitu ambacho ni abstract? Ebu acheni mizaha lwenye serious issues za nchi. Hayo nakundi imaginary mnayo ninyi wite wabinafsi, wengine kundi letu ni Tanzania.
Wewe sio wengine
 
Mna ushahidi ?
Utakuwa juha kutaka ushahidi wa kuteuliwa kwa Sabaya na Makonda kumbe walijiteuwa wenyewe?

Uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake lini walifloat tenda ya ujenzi wa uwanja?

Lini bunge lilipitisha bajeti ya ujenzi wa uwanja?
Halafu juha linasema una ushahidi! Pathetic
 
Kwanza hiyo kitu haipo. Kilichopo ni sera. Sisi tunataka uwajibikaji na kukomesha wizi na uzalendo. Hivyo mliokuwa mnawatukania na kumdhihaki aliyewafia mikononi mwao ndiyo hao hao watawalambisha udogo.

Uzuri mfumo wao jamaa ni ukuta kwa ukuta huwezi jua nani ni nani na waliwaachia mkajiachia hahahaha kila mtu akajulikana na uhusika wake hahahahaha poleni sana.

Kuweni wazalendo ombeni msamaha ingawa mmechelewa kinawahusu kifo tu ili nchi iendelee. Ni kama Yesu aliposulubiwa wanafunzi wake waliteswa na wengine kuuliwa ila mwisho wa siku watesi wote walikufa na injiri ya Yesu ikahubiriwa mataifa yote.

Ndiyo ninyi wezi na wauza madawa mtakufa wote na injili ya uzalendo na uwajibikaji itahubiriwa Tanzania yote na nchi yetu itakuwa tajiri sana na kila mtu atafurahia maisha.
Ajili ndogo hii!Mungu anasema;maisha ya mwanadamu ni miaka 70 ikizidi ni 80(zaburi 90:10).Membe kafa akiwa na miaka 70.Huoni kuwa amemaliza muda wake?Ndiyo umri ambao Mungu amesema.Lakini Magu kafa na miaka 61.Hajafika ile miaka aliyoisema Mungu.Maana yake Mungu amekatisha uhai wake kabla ya miaka aliyoisema.Kwa hiyo kusema Mungu kakatisha maisha ya Membe ni kujitoa ufahamu tu
 
Bosi unakosea kusema hivyo. Mambo hayo ya kukatisha uhai nyie kambi ya JK ndiyo mmeyaleta
 
Hahahahahaha Error 404 ila ni ukweli bosi maana falsafa ya Dkt Magufuli itaishi mimi na wewe tutazeeka na kufa ila vizazi vyetu vitakuja kuihubiri na hatimaye kuiishi. Najua sasa hivi sera ni kukopa nje na kuachia mianya ya ukusanyaji mapato ya ndani na wizi, madawa etc.
Falsafa hii itaishi kwenye vizazi vyako umilele wote siyo kwa wenye akili timamu
 
Falsafa hii itaishi kwenye vizazi vyako umilele wote siyo kwa wenye akili timamu
Noway bosi. Hii dhana ya uadilifu, uwajibikaji, na uzalendo ni wimbo wa kila taifa. Hivyo hata wewe najua kabisa moyoni mwako unafahamu ukweli ila unazuga kwa kujidanganya na chuki binafsi. Pole sana ila hakuna namna utazuia watanzania kuwa wazalendo. Ni kama walivyojaribu kuzuia uislam au u Kristo. Wewe na wenzako lazima mfe na falsafa ya Dkt Magufuli will live forever!
 
Habari JF,

Kwa wasio fahamu hii itikadi ya Kundi la Sukuma Gang inaundwa na watu wa aina 3 na ilikuwepo hata kabla ya 2015 kipindi hicho wakiwa ni wafuasi wa Lowassa ndani ya CCM hivyo baada ya kukatwa 2015 wengi wao wakaungana na Kundi la pili wanao support falsafa ya Hayati Magufuli.

Aina ya 3 inayounda Kundi Hilo ni wazalendo. Hawa wanaamini nchi inaongozwa na Kundi la watu Msoga Gang ambao hawapo Kwa maslahi ya Taifa.

Hivyo unazungumzia hili Kundi unagusa watu wengi na wenye Nguvu sana na wapo kila sehemu ya nchi mpaka kwenye vyombo usalama. Kwa kifupi ni Dubwana kubwa. Hawa kina Musiba ni mifano tu ambao hata wao kuwagusa ni vigumu sana Zaidi ya kuwatingisha tu.

Hivyo basi kama ni watu ambao wanajulikana na itikadi zao zinajulikana na ni Kundi kubwa basi ili kuweka Umoja kuna haja ya kuangalia namna ya kulivunja Hasa Kwa kuwashirikisha kwenye Mambo muhimu ya kitaifa kama Teuzi NK, kikubwa kuwepo na Umoja wa kitaifa.​
Serikali iweke kwenye orodha ya vikundi vya waasi
 
Sukuma gang ni lidude likubwa sana watawala wasipoangalia litakuja kuwameza one day.

Wanazani sukuma gang ni wasukuma tu la hasha, bali ni watu woote wanaoamini katika sera za Jemedali Magufuli
Sukuma gang sio kabila boss, acha kuwachanganya wasukuma na hilo kundi la wazalendo uchwara.
 
Noway bosi. Hii dhana ya uadilifu, uwajibikaji, na uzalendo ni wimbo wa kila taifa. Hivyo hata wewe najua kabisa moyoni mwako unafahamu ukweli ila unazuga kwa kujidanganya na chuki binafsi. Pole sana ila hakuna namna utazuia watanzania kuwa wazalendo. Ni kama walivyojaribu kuzuia uislam au u Kristo. Wewe na wenzako lazima mfe na falsafa ya Dkt Magufuli will live forever!
😂😂 Eti falsafa ya Dkt Magufuli, kipindi cha dhalimu ilikuwa ngumu sana kutenganisha uzalendo na ujinga.
 
Ndugu RNA, naomba kukupa taarifa:-

1. Hayo 'makundi' yako kwenye DNA ya CCM. Kwenye awamu ya pili yaliongezeka na kujitanua.

2. Wakifika serikalini (kundi au watu wao "wakishinda") huwa "genge au mtandao". Hayo yameiumiza na kuifasadi sana nchi yetu kwa miaka zaidi 30 sasa.
Kwenye damu ya hayo makundi/mitandao hakuna chembe ya uadilifu wala uzalendo - ni ubinafsi tu.

Fuatilia historia hasa kuanzia miaka ya tisini (1990s).

3. Makundi/Magenge hayo yote kifupi HAYANAGA ITIKADI. Never!
Dhana yao ni masalahi yao tu!

Kinachowaunganisha au kuwagombanisha ni maslahi yao sio Itikadi. Ndio maana bado wote wako CCM, na wanatoana roho humo humo.

Kawaida huwa yanaongozwa na kauli "..sasa ni zamu yetu kula....zamu...zamu"
Lakina kwa nje yatazungumza lugha na ahadi tamu za kisiasa.

4. Leo ukihalalisha kundi ambalo liko bench, au ambalo 'sio zamu yao'; una maanisha "vita kamili ndani ya CCM". Hiyo vita itatishia uhai wa CCM kama chama na huenda ukaifuta CCM toka kwenye ulingo wa siasa jumla.

5. Kweli, hayati Magufuli naye alikuwa na makundi yake; na alipitishwa kugombea mwaka 2015 kwa njia na utamaduni huo huo.
'Alichokosea' (akidhani angetawala maisha) ni kutumia nguvu za dola ku deal na magenge hasimu na lake. Hapo alivunja "miiko na mipaka" inayotawala huo mchezo wao mchafu', zamu zamu.

Ndio maana ilibidi 'anunue' watu toka "nje" mfano akina Bashiru na Polepole.
Na akapanua wigo wa kundi (voters base) kwa kutumia ukanda.

Hivyo utaona bayana kuondoa/kuua hayo makundi ni kuiua CCM - na hiyo sio hasara kwani faida zitakuwa nyingi kwa muktadha wa Taifa letu.

Ubaya wa hoja yako, RNA, uko hivi - ukihalalisha leo kuwapa Sukuma Gang na wengine vyeo; kesho yatazuka magenge zaida, tena yenye silaha na wapiganaji kabisa (mfano Somalia, Sudan, Philippines nk) nao watataka wapewe 'mgao wao'.

Tayari tunaibiwa na kupata hasara kama nchi lakini wewe unashauri tuhalalishe uharamia na uhujumu uchumi. HAPANA!

Ndio maana tunataka Katiba Mpya ili kuondoa haya madudu. Uko uchafu na ubovu mwingi sana nchini lakini Katiba Mpya itatupa nafasi na nguvu ya kuyashughulikia.

Apparently; walioko madarakani wanajua na kuelewa haya ninayoyasema kuliko watawaliwa!
 
Noway bosi. Hii dhana ya uadilifu, uwajibikaji, na uzalendo ni wimbo wa kila taifa. Hivyo hata wewe najua kabisa moyoni mwako unafahamu ukweli ila unazuga kwa kujidanganya na chuki binafsi. Pole sana ila hakuna namna utazuia watanzania kuwa wazalendo. Ni kama walivyojaribu kuzuia uislam au u Kristo. Wewe na wenzako lazima mfe na falsafa ya Dkt Magufuli will live forever!
Kama alivyokufa yule muuaji shetani Magufuli aliyepora pesa kwenda kujenga uwanja wa ndege wa Chato kijijini kwake, akapora trillion 1.5, jizi falsafa yake itadumu kwa wajinga akina Musiba, Sabaya na Makonda na wajinga wenzake
 
Utakuwa na mental problem mkuu. Mnanilazimisha nimseme vibaya comrade Mh. Membe, hapana. Dkt Magufuli alikuwa mzalendo namba moja. Choko ka wewe wala hutusumbui kwa sababu ni mjinga fulani usiyekuwa na mbele wala nyuma kwa sababu you’re biased and misinformed. So kaa na huo ujinga wako wa kushangilia vifo vya viongozi. Ukome kabisa kujibizana na mimi choko mkubwa na uliyejaza mavi kichwani maana kama huwezi heshimu hata mtu aliyekufa wewe ni choko na punga.
 
Relax
 
Back
Top Bottom