Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

Magufuli ndo kawaharibia CV. Wasukuma ukweli ni watu wakarimu sana na tumeishi nao, ni watu walikuwa hawana shida na mtu.

Ila baada ya ujio wa Magufuli, taswira dhidi ya wasukuma imebadilika sana.
Tuwape second chance.........
 
Magufuli ndo kawaharibia CV. Wasukuma ukweli ni watu wakarimu sana na tumeishi nao, ni watu walikuwa hawana shida na mtu.

Ila baada ya ujio wa Magufuli, taswira dhidi ya wasukuma imebadilika sana.
Wasukuma ni kabila kubwa kuna wachache wao sijui wanatokea Bariadi au wapi wana changamoto sana. Nimeishi na Wasukuma na ni watani zangu nawapenda ila hata wao wenyewe wanajuana wapi ni wa kuishi nao kwa makini. Ukweli ni kwamba hawatabiriki.

Fanya utafiti mdogo JF, Clouds, EATV na kwingineko wapi taarifa za mauaji ni nyingi. Shinyanga, Geita, Mwanza na Mara, hapo kasoro mkoa wa mwisho ndio Wasukuma sio dominant. Na mikoa yao ndio ilikuwa inaua albino na vikongwe.

Wanawake wao wana rekodi nzuri kasoro mwaka jana ndio kesi kubwa zilikuwa ni zao.
Hakuna kabila ni perfect ila ukijua changamoto zake inakupunguzia matatizo.
 
Dah kweli hawatabiriki mchana ni wema Sana sijui usiku.
 
Wana ndumba hao sio ajabu washakufanyia ndio maana unawamwagia sifa zao 😅

Nna jamaa yangu sana ngosha ni mtu na nusu wapewe maua yao
Dah umenikumbusha ngosha mmoja kwenye kutongoza alituambiaga: ana njia tatu za kumtongoza demu
1. Kuvaa vizuri
2. Kumwaga hela
3. Kumroga demu (hapa ni Kwa njia ya ushirikina) kama njia mbili za mwanzo demu hajamuelewa.
Noma sana wale watu usiingie kwenye 18 yard box zao.
 
Ndumba ipo sana huko kwao japo wengi n wakarimu hawaitumii mpaka uwachokoze, uwaanze.
 
Kiufupi ni watu poa sana, nimeishi nao sana hawana fujo mpaka umchokoze
Kuna jamaa mmoja ana duka la vipodozi huwa anawauzia airfresh km mbadala wa spray na wanazipenda sababu ni makubwa😂 akili zao wanazijua wenyewe hao watu
 

Karibu sana nyumbani bageshi. Kama ni mweupe (kama huyu binti) iambie familia yako ijiandae kupokea ng'ombe 50+

Karibu sana Misungwi kama utapita maeneo haya. Ukifika pale mjini ulizia kwa Mzee Shimba mkulima wa nyanya na dengu utanipata.

Wabeja ❤️

 
Wabeja kulumba....hakika ng'ombe hamsini zitapatikana Kama kigezo ni hiyo rangi tu,je sio lazima niwe tukunyema?
 
Kiufupi ni watu poa sana, nimeishi nao sana hawana fujo mpaka umchokoze
Kuna jamaa mmoja ana duka la vipodozi huwa anawauzia airfresh km mbadala wa spray na wanazipenda sababu ni makubwa😂 akili zao wanazijua wenyewe hao watu
🤣🤣🤣🤣🤣kapeace jamani airfresh ?Ila hawashindwi maana bado Kama wapo miaka ya 70s hawana habari yaani wako na furaha zao tu
 
Du Aisee ndio maana mdogo wangu umestuka? Half american kumbe kweli ndio michezo yao.
Ndio wale wanauliza je utanipenda au nitumie njia za jadi?😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…