Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

Aaah mpenda mikia Sasa🀣🀣
Kwa kweli jungu la ugali watu 8 sitoweza labda wali jamani
 
Ongezea msukuma anaweza kukubali kudharaulika wala hana shida ya mtu anafanya mambo yake.

Hao wa jmaa sio wabaguzi ,kama wangelikuwa wabaguzi na wingi wao hii nchi watu wangehama .
Kweli nawatetea hawana shida kabisa
 
Kiufupi ni watu poa sana, nimeishi nao sana hawana fujo mpaka umchokoze
Kuna jamaa mmoja ana duka la vipodozi huwa anawauzia airfresh km mbadala wa spray na wanazipenda sababu ni makubwa[emoji23] akili zao wanazijua wenyewe hao watu
haupo serious [emoji848]
 
Magufuli ndo kawaharibia CV. Wasukuma ukweli ni watu wakarimu sana na tumeishi nao, ni watu walikuwa hawana shida na mtu.

Ila baada ya ujio wa Magufuli, taswira dhidi ya wasukuma imebadilika sana.
Wasukuma ndio tulivyo hatuhitaji ujinga ujinga wa kuwaibia watz. Ukileta ujinga tunakuvunja mbavu. Wizi hatuwataki kabisa!!
 
Kiufupi ni watu poa sana, nimeishi nao sana hawana fujo mpaka umchokoze
Kuna jamaa mmoja ana duka la vipodozi huwa anawauzia airfresh km mbadala wa spray na wanazipenda sababu ni makubwaπŸ˜‚ akili zao wanazijua wenyewe hao watu
Mwambie aache kuwatapeli nduyu zangu 🀣
 
walinichukulia hivyo. Huo ni ubinafsi
Duniani kote iko hivyo. Ukienda Ujerumani usijaribu kuwasalimia kwa Kiingereza hawatakujibu kabisa hasa mitaani na wanaweza kukutenda. Jitahidi kila ukienda sehemu ambayo wanatumia lugha yao jifunze lugha yao hasa salamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…