Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

Gwajima ana matatizo ya akili ila watu wengi hawajui hilo.
 
Unajikuta unaijua sana Biblia
 
Wewe huelewi maana ya maneno hayo, bali kwenye quran tu, huku ni kwa wasomi
 
Wanaogopa 💉💉🎤👇👇👇
Luka 10:19
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
 

Kwa walozi na waganga wa chienyeji mtaita machale yalimcheza. Kwa walokole tunasema kamtii Roho Mtakatifu na kuomba kiti na mic aruhusiwe vibadilishwe. Chagua uko upande gani hapo kama ilivyo kuchanja au kutochanjwa.
 
🤣🤣🤣🤣 eti akiona ni Kova anaanguka paap, hiyo maana yake Kova unatisha kwa utesaji
 
Kova akae Kwa kutulia....!!! Aache ngebe!! Tunahitaj watu kama watatu hivi wenye vichwa kama Gwajima walau hii nchi watawala watachangamka
Huyo mnafiki sana na uongozi wake mbovu kwenye Jeshi la polisi na kashmiri kwa madawa ya kulevya hana lolote.
 
Hujielewi, nakuona una kichwa kikubwa tu, Kanisa aliloanzisha Kristu ni dhehebu gani?
 
Wanaogopa 💉💉🎤👇👇👇
Luka 10:19
Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Wewe hata neno hujui unasoma kama unasoma stori za shigongo.
 
Hahahaa hivi ule ugomvi na kamanda mwenzie wa kugombea kiwanja ulishaisha??
 
Jibu swali inamaana mtu asiye kalili hata kifungu kimoja hamfuati yesu?
 
Kibibi upo?

Naona unateseka kuona mtego umeteguliwa, rejea kwa Kolimba na Chachage.
Mnamkuza sana huyo jamaa, wengine wote walioenda kwenye hiyo kamati wakarudi salama wao hawakuwa watu?
 
Povu la nini hata huyo Mungu hana wafuasi wote ndio itakuwa wewe kutokuwa mfuasi wa Gwajima.
 
Gwaji hamna kitu nu usanii tu, kama kuzuriwa si angeogopa hata hela za posho ya vikao vya bunge ambapo mtu anaweza kupaka sumu badala ya kusubiri microphone. Umeshawahi sikia Gwajiboy ameomba abadilishiwe noti wakati anasaini posho.
 
Sa wapi bible imesema kuhusu kiti na mic
Bible says hatukosi kuzijua hila za muovu shetani
 
Ukitafasri Biblia kama hadithi utapotea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…