Suleiman Kova: Mtu anayekuwa katika msongo wa mawazo anaweza kufanya kama Askofu Gwajima, hajiamini na haamini wengine

Wewe mteule waKikwete Mwendazake hayupo unamalizia uchungu wako kwa Gwajima 🤣🤣
 
Ajabu au kiti Cha mtuhumiwa rangi yake huwa tofauti?
 
Mzee Kova unataka uunganishwe kwenye list ya watu watakaopondwa pondwa na Askofu ? Shauri yako wewe kula pensheni haya mambo waachie wapatuane wenyewe
 


Hata ulinzi pia imeandikwa Bwana asipoulinda mji walindao watakesha bure.

Kwa hiyo lutalapo majumbani tusifunge milango sababu Mungu imeandikwa tutalindwa na Mungu?

Imeandikwa; mpende Bwana Mungu wako kwa AKILI yako yote.

Mungu anapendwa na matumizi bora ya akili zetu katika kumpenda na kuishi kwa ujumla.

Kwa hiyo kuchukua tahadhari kabla ya hatari ni sahihi kabisa.

Hata Bwana Yesu alipojaribiwa na Ibilisi aliambiwa ajirushe chini sababu imeandikwa malaika watakuja kumuokoa, lakini alimjibu imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako!
 
Ajabu au kiti Cha mtuhumiwa rangi yake huwa tofauti?
Pamoja na muonekano huo wa kitofauti, na kujitokeza kwa hisia hasi kuwa kiti kilitengwa rasmi kwa ajili yake, kwa nini pia kusiwepo kuwa ni hisia kama hizo katika kipaza sauti kilichotengwa pia rasmi kwa sababu ya mahojiano yake!?
 
Gwajima ana matatizo ya akili ila watu wengi hawajui hilo.
Tatizo ukiwa unamshabikia mtu au unapendezewa na anachokifanya inakuwa ngumu kujua endapo huyo mtu akiwa na matatizo ya akili, kuna watu hawawezi kukuelewa ukiwaambia Gwajima hayupo sawa kama ambavyo wengine ukiwaambia Lissu hayupo sawa.
 
Tatizo ukiwa unamshabikia mtu au unapendezewa na anachokifanya inakuwa ngumu kujua endapo huyo mtu akiwa na matatizo ya akili, kuna watu hawawezi kukuelewa ukiwaambia Gwajima hayupo sawa kama ambavyo wengine ukiwaambia Lissu hayupo sawa.
Wewe hujui yaliyomkuta Kolimba?au ulikuwa mtoto?

Matatizo ya Gwajima Nini Sasa?

Magufuli alisema alinyweshwa sumu na mawaziri wenzake kipi Cha ajabu Gwajima kujilinda?
Mangula si alipewa sumu na haohao?

Mwakyembe wakati ananyonyoka nywele ulikuwa wapi?
 
Sijui hata unaongelea nini?
 
Askofu tapeli, yaani haogopi Corona lakini anaogopa kiti na microphone!!! Watu wanaomfuata huyu jamaa na kusikiliza pumba zake ni wajinga zaidi yake yeye mwenyewe, serikali imefanya vyema kumpuuza, ukikimbizana na kichaa nawe utaonekana kichaa
Hujuwi figisi za mahojiano wewe! askofu ni mzoefu kwenye hizo kamati fitinishi
 
Tena kama Kova huyu Mrangi hata maji akikupa unamwaga tu hawana maana
 

CCM hawaachiani maji mezani JK
 
Aangalie huyo kamanda. Hivi hajui kuwa Gwajima ni unchokozwable (hachokozwi). Atamuwashia moto!
 
Hata nawe ukapimwe kama Kova kama kweli unamaanisha. Yeye ameelezea uzoefu wake. Siju wewe unaelezea uzoefu upi. Mie natumia uzoefu wangu kama mtaalamu wa masuala ya Ugaidi.
Hata shule masuala ya ugaidi kuna failures, watoro sugu, waliofikia lengo kinyume! jua hapa wakufunzi walitaka mshiko wake tu! ili waishi vyema!! hao nao walifuzu shule ya ugaidi! km weye!

hkn sehemu JF inayozuia propaganda za kisaikolojia kutoka kwa yeyote yule mwenye domo kubwa! km kova! elewa domo la ivo linaweza kutamka chochote!! popote!! kwa influences fake! nani kamuomba aseme?? je anatumiwa ili kuzima watu wasiojua km weye?
 
Kova akae Kwa kutulia....!!! Aache ngebe!! Tunahitaj watu kama watatu hivi wenye vichwa kama Gwajima walau hii nchi watawala watachangamka
Watu kama Gwajima ndio wanatakiwa kuitwa Magaidi, cha ajabu samia amemuita gaidi mtu kama Mbowe.
 
Askofu tapeli, yaani haogopi Corona lakini anaogopa kiti na microphone!!! Watu wanaomfuata huyu jamaa na kusikiliza pumba zake ni wajinga zaidi yake yeye mwenyewe, serikali imefanya vyema kumpuuza, ukikimbizana na kichaa nawe utaonekana kichaa
Hao wajinga ni mamillion ya watu. Sababu ndio hao wamemsikiliza hawajachanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…