Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

Duh...!, umenikumbusha mbali kwa kunirejesha kwenye roots, ile tarehe 5/2/1977 wakati CCM inazaliwa, nilikuwa darasa la 3, SM ya Itonjanda chini ya Mwalimu Mkuu Paul Kashidye, baba yake Deo, Mati, Faustin . Dada mkuu wa shule alikuwa Kayemba, tulichinja ng'ombe mzima tukala na ugali!.

Ukoo wa Kaombwe au Wakawombwe ndio ukoo wa Bibi mzaa Baba, babu ni Msukuma kutoka Mwanza, akalowea Tabora, akaoa Tabora na kuwa Wasukuma Wanyamwezi.

P
Intonjanda?Kweli wewe msugunsu-mnyamwezi.Hapo bado haujaitaja Ntalikwa.
 
Raia yeyote atakayeonekana kutokutii ina maana Yuko tayari kupambana.
Ngoja tumpate Rais ambaye atakuwa Dikteta Mzalendo Muadilifu ili Wananchi wote tunyooshwe pamoja na majizi ya mali za Nchi 👁

Huyo Rais akipatikana atawale kwa miaka isiyopungua 30 bila kuwepo uchaguzi wa Rais 👁

Ni maono tu 👁😇🤠
 
Huu muungano una miaka 60 tumeshindwa kuwa na serekali Moja, Leo ndio mnalazimisha tuwe na serekali 1 wakati kizazi hiki hakiutaki huo muungano? Wanzanzibar ni dhahiri hawautaki muungano na huko mbeleni tutakuja kuingia kwenye uhasama usio na sababu. Huu muungano ni koti la kuuzima, na hapa lilipo limeshatubana, ni wakati wa kuvua.
Mkuu Tindo , huu muungano wetu adimu na adhimu una dhima ndani yake ambayo ni kama spell fulani, ukiuzungumzia tuu muungano in a negative way with intention ya kuuvunja, unavunjika wewe!, yanakukuta ya kukuta!.

Unamjua huyo aliyesema "muungano kama koti la kuazima lilikubana unalivua" ni nani na kilimkuta nini baada ya kutamka maneno hayo?.

Unakumbuka kilichumkuta Abudul Jumbe?.
Hakuna anayelazimisha serikali moja, aliyetaka serikali moja ni Karume!
Wazo la kuwa na Serikali moja lilikuwa ni wazo la Karume
View attachment 2999472
Lakini ni Nyerere ndiye alikataa!
P
 
Mkuu Tindo , huu muungano wetu adimu na adhimu una dhima ndani yake ambayo ni kama spell fulani, ukiuzungumzia tuu muungano in a negative way with intention ya kuuvunja, unavunjika wewe!, yanakukuta ya kukuta!.

Unamjua huyo aliyesema "muungano kama koti la kuazima lilikubana unalivua" ni nani na kilimkuta nini baada ya kutamka maneno hayo?.

Unakumbuka kilichumkuta Abudul Jumbe?.
Hakuna anayelazimisha serikali moja, aliyetaka serikali moja ni Karume!
P
Ndio maana nimekuambia ni muungano wa shuruti sio wa ridhaa. Ukiona muungano unalindwa kwa kupoteza uhai wa wanaouhoji au wasio ridhia, huo sio muungano bali kafara. Kizazi hiki sio Cha kuongozwa na makafara ya hao wazee washirikina tena. Narudia ile kauli yangu, muungano huu hauna miaka 20 mbele lazima uvunjike, vinginevyo muundo ubadilike.
 
Back
Top Bottom