Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Intonjanda?Kweli wewe msugunsu-mnyamwezi.Hapo bado haujaitaja Ntalikwa.Duh...!, umenikumbusha mbali kwa kunirejesha kwenye roots, ile tarehe 5/2/1977 wakati CCM inazaliwa, nilikuwa darasa la 3, SM ya Itonjanda chini ya Mwalimu Mkuu Paul Kashidye, baba yake Deo, Mati, Faustin . Dada mkuu wa shule alikuwa Kayemba, tulichinja ng'ombe mzima tukala na ugali!.
Ukoo wa Kaombwe au Wakawombwe ndio ukoo wa Bibi mzaa Baba, babu ni Msukuma kutoka Mwanza, akalowea Tabora, akaoa Tabora na kuwa Wasukuma Wanyamwezi.
P